TRA na ushuru wa kuingiza gari

TRA na ushuru wa kuingiza gari

Lyceum

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2009
Posts
1,046
Reaction score
568
Hawa jamaa wamepandisha ushuru wa kuingiza magari kumbe nao ni wizi tu. Unanunua gari mill 7 ushuru TRA unalipa mil 20. Huu ni uwendawazimu kabisa. Haiingii akilini.
 
These people are robbers. Majambazi wakubwa TRA ndio maana Mungu anawalaani. Mtu unakokotoa na kutafuta kigari cha $2000 kufika haha Ushuru ni $4000, upumbavu gani huu TRA. Hawataki watanzania wanunue Magari period
 
These people are robbers. Majambazi wakubwa TRA ndio maana Mungu anawalaani. Mtu unakokotoa na kutafuta kigari cha $2000 kufika haha Ushuru ni $4000, upumbavu gani huu TRA. Hawataki watanzania wanunue Magari period
Tatizo mnanunua magari yaliyo 'hoza' sasa!!!
 
Kuna jipu moja baya sana watanzania wanaomba mheshimiwa Magufuli alitumbue. Shirika la viwango la Tanzania (TBS) wametoa tenda za kifisadi kwa makampuni yenye utata kukagua magari yanayoingizwa Tanzania huku wakitoza ada ambazo hazina mguu wala kichwa.

Kiuhasilia hizi tenda zilitolewa kwa njia ya rushwa na hizi kampuni hazifanyi ukaguzi wa aina yoyote. Mheshimiwa sana rais Magufuli tunaomba utuondolee huu ufisadi.
 
kuna hatari ya kusugua soli hadi kieleweke. napata wasi wasi na ishu ya kodi kwenye viatu inakuja....Hapo AKILI itakuja.
 
Kodi za magsri ni Maumivu sana kwa Watanzania, kodi ni.kubwa sana, imefikia hatua kununua gari kwa Mtanzania ni km adhabu???

Bunge na serikali lazima walitazame hilo...halafu ajabu ni kwamba ukiagiza gari nje na ukinunua bei hapa kwetu ni karibu bei sawa

Kuna habari kuwa hawa jamaa wanaouza magari kwny showroom kuna michezo huwa wanafanya TRA kukwepa kodi ndio maana kodi inafanana na anaeagiza nje moja kwa moja!
 
Uongo usizidi sana... ops mnatuchosha kusoma upuuzi
 
Ilikua ya mwaka gani?
Otherwise tuanze kupitishia mombasa tu sasa.
Pole sana
ungejua kinachoendela Horohro,
yani ni balaa naona wanampango wa kudscarage watu wasitumia mombasa ili mradi bandari kavu zipige cha juu kama kawaida yao.
 
Wajaua wao wana assume kuwa watu wanaonunua
magari kwa kuagiza nje ya nchi ni watu wenye pesa
za kutosha tu.
 
Uongo usizidi sana... ops mnatuchosha kusoma upuuzi
Ndugu yangu fanya utafiti. Magari yapo kwenye mitandao na TRA calculator ipo kwa weside yao. This is the plain truth. Kodi zipo juu mnoooo
 
Back
Top Bottom