Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,905 Reaction score 33,099 Aug 9, 2012 #21 mito said: Mkuu unajua unachosema hapo kwa red au unaleta siasa za ushabiki? Hao unaowapigia debe (in blue) hawakuwemo bungeni wakati sheria zinapitishwa? Click to expand... Wewe umeona kuna siasa hapo kwenye maelezo yangu? Kwa taarifa yako mimi sio mshabiki wa siasa, mimi ni mshabiki wa familia yangu na ndugu zangu
mito said: Mkuu unajua unachosema hapo kwa red au unaleta siasa za ushabiki? Hao unaowapigia debe (in blue) hawakuwemo bungeni wakati sheria zinapitishwa? Click to expand... Wewe umeona kuna siasa hapo kwenye maelezo yangu? Kwa taarifa yako mimi sio mshabiki wa siasa, mimi ni mshabiki wa familia yangu na ndugu zangu
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Aug 9, 2012 #22 Serikali Dhulumati hii choma moto viongozi wote wezi watupu
brazilian JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 604 Reaction score 115 Aug 9, 2012 #23 Hiki ni kipato cha bosi mmoja wa CCM; Cha kustaafia
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Aug 9, 2012 #24 kama TRA ndo wanatoa izi stika za fire, hawa jamaa wa fire brigade wanatoa nini tena? na mbona hawa jamaa wa zima moto ndo wanatusumbua barabarani kila kukicha?
kama TRA ndo wanatoa izi stika za fire, hawa jamaa wa fire brigade wanatoa nini tena? na mbona hawa jamaa wa zima moto ndo wanatusumbua barabarani kila kukicha?
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,031 Aug 9, 2012 #25 Kambaku said: Wewe umeona kuna siasa hapo kwenye maelezo yangu? Kwa taarifa yako mimi sio mshabiki wa siasa, mimi ni mshabiki wa familia yangu na ndugu zangu Click to expand... samahani kama nimekuelewa vibaya, ila majibu ya comment yako ya kwanza yanafleva ya ushabiki wa kisiasa
Kambaku said: Wewe umeona kuna siasa hapo kwenye maelezo yangu? Kwa taarifa yako mimi sio mshabiki wa siasa, mimi ni mshabiki wa familia yangu na ndugu zangu Click to expand... samahani kama nimekuelewa vibaya, ila majibu ya comment yako ya kwanza yanafleva ya ushabiki wa kisiasa
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,905 Reaction score 33,099 Aug 9, 2012 #26 mito said: samahani kama nimekuelewa vibaya, ila majibu ya comment yako ya kwanza yanafleva ya ushabiki wa kisiasa Click to expand... Naona umeamua kunipatia haki yangu japo uliichelewesha kidogo! Hakuna chembe ya siasa hapo na wala simsemi mtu vibaya wala kumshabikia mtu, ni namna serekali inavyoendesha vitu kwa zima moto tu
mito said: samahani kama nimekuelewa vibaya, ila majibu ya comment yako ya kwanza yanafleva ya ushabiki wa kisiasa Click to expand... Naona umeamua kunipatia haki yangu japo uliichelewesha kidogo! Hakuna chembe ya siasa hapo na wala simsemi mtu vibaya wala kumshabikia mtu, ni namna serekali inavyoendesha vitu kwa zima moto tu
masharubu Senior Member Joined May 5, 2010 Posts 155 Reaction score 10 Aug 9, 2012 #27 Bado wizara inayohusiana na mazingira,afya nao watakujakuleta kodi ktk magari muda si mrefu wanajua huna pa kukwepea
Bado wizara inayohusiana na mazingira,afya nao watakujakuleta kodi ktk magari muda si mrefu wanajua huna pa kukwepea