TRA na kodi ya majengo ulaji mtupu

Ufala wako ndio kuliwa kwako, kwa nn hukuwaliza hapo hapo? Hapa nani atakusaidia fala ww?
 
Hio elfu 12 itajenga nchi ya maziwa na asali mkuu
 
Acha kuchafua watumishi wa TRA wakati unapenda sana shortcut. Nilichogundua wewe hukulipia kwa afisa wa TRA bali umempa hela kishoka. Na kishoka ndo kakwambia kuwa ni elfu 30, wakati ni elfu 15. Nyumba yoyote ambayo haijafanyia assesament na ni nyumba ya chini ni elfu 15.
 
MIE NYUMBA YA VYUMBA 3 NA SEBURE NIMELIPIA BENKI 36360 MPAKA SASA SIELEWI ELEWI AU NIMELIZWA ILA RESIT IKO SAWA YANGU
 
Hukagui receipt?
Tayari mkuu ushaingizwa Posta Mpya.
Post sent using JamiiForums mobile app
Uliuliza kuisaidia nchi yako?
@TRA na sehemu zingine nyeti, bado majizi yapo, msifikirie wanaogopa hao, sasa wamejuwa dola imewashutukia, wamekimbilia kwa raia sasa, tuwe makini wakuu
 
Usiwatuhumu kwa ulaji ulipaswa kuisoma receipt palepale kabla ya kuondoka, pengine ni makosa ya kibinadamu tu.Nyumba ya kawaida ya block unalipia 15,000

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hiyo imeshakwenda tumboni mkuu,we iache tu ila usirudie tena siku nyingine,ingekuwaje kama ni Bank umediposit 20m halafu ukaja kukuta umeingiziwa 20,000/-wakati ndio umeshafika nyumbani?

Sony Z3
 
Badala ya kuuliza mtoa huduma wa TRA unakuja kuuliza JF,unapotezea watu muda na post zisizo na mashiko!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
MIE NYUMBA YA VYUMBA 3 NA SEBURE NIMELIPIA BENKI 36360 MPAKA SASA SIELEWI ELEWI AU NIMELIZWA ILA RESIT IKO SAWA YANGU
Duh mkuu wewe wamekupiga sana mm vyumba 3 sebule dining kwa 27000 na nka zulumiwa 12000
 
Usiwatuhumu kwa ulaji ulipaswa kuisoma receipt palepale kabla ya kuondoka, pengine ni makosa ya kibinadamu tu.Nyumba ya kawaida ya block unalipia 15,000

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu kodi unayolipa unatajiwa palepale kuna watu wamelipa 20000,30000,40000 mpaka 5000,10000 yani wao ndo wanakuambia utoe Tsh ngapi
 
Hiyo imeshakwenda tumboni mkuu,we iache tu ila usirudie tena siku nyingine,ingekuwaje kama ni Bank umediposit 20m halafu ukaja kukuta umeingiziwa 20,000/-wakati ndio umeshafika nyumbani?

Sony Z3
Nmejifunza kutokana na makosa kesho naenda kulipa Ardhi ntakuwa makini Sana
 
Badala ya kuuliza mtoa huduma wa TRA unakuja kuuliza JF,unapotezea watu muda na post zisizo na mashiko!

Post sent using JamiiForums mobile app
Huwenda baadhi ya watu wakawa wamezinduka kupitia Post hii
 
Hapo umeingizwa Mkenge ndugu yangu, Risiti yenyewe ni ya Mwaka 2016.

Kamata MIIZI MEEN....!! (Kwa Sauti ya Sharo Millionea) R.I.P

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nenda TAKUKURU watairudisha na nyongeza hao

Post sent using JamiiForums mobile app
Sijui nende kesho ila nnamambo mengi bora niachane nao tu chamsingi ni kuwa makini wakati mengine
 
Hapo umeingizwa Mkenge ndugu yangu, Risiti yenyewe ni ya Mwaka 2016.

Kamata MIIZI MEEN....!! (Kwa Sauti ya Sharo Millionea) R.I.P

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
Ila inaonyesha ilala wakati mm nko mkoani wizi mtupu
 
Umeshapigwa mkuu daah pole
 
Ila Serikali imekosea sana haijatoa elimu kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…