TRA na kodi ya majengo ulaji mtupu

TRA na kodi ya majengo ulaji mtupu

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
2,537
Reaction score
2,544
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki,

Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo.

Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000.

Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?

fb617030dff4fd546707a7942f6c0ab3.jpg
 
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki

Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo

Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000

Hukusoma risiti pia si imeshatangazwa kodi ipo flat kutegemea halmashauri yenyewe sasa wewe husomi matangazo ya TRA Tz nzima???!!!
 
Labda Hiyo nyingine itakuwa kodi ya malipo ya kodi, hapo ungegoma kuondoka mpaka upate chenji kamli, naona umeamua kuweka jina na TIN yako wazi kupitia hiyo risiti, hizo ni "personal data", mtu anaweza kukudhuru kupitia taarifa zako
 
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki

Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo

Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000

Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?

fb617030dff4fd546707a7942f6c0ab3.jpg

Hukagui receipt?
 
Tayari mkuu ushaingizwa Posta Mpya.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki

Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo

Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000

Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?

fb617030dff4fd546707a7942f6c0ab3.jpg
risiti haitoshelezi karatasi ya kuonyesha kadirio na control number iko wapi?
 
Back
Top Bottom