Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,635
- 4,704
yaani unaamka asubuhi badala ya kufikiria mambo ya msingi kuboresha maisha yako unawaza mambo ya wenzako, acha roho mbaya na majungu.
Nawewe pia huwa unapigia kelele mchanga au kulipa kodi? Mtoa mada yuko sahihi, kwa hiyo kama jambo haliendi sawa mradi halikuhusu unakaa kimya?