TRA Mwanza, SITTA Supermarket ni yenu?

TRA Mwanza, SITTA Supermarket ni yenu?

Mtoa mada umeingozwa na Uzalendo au wivu na chuki binafsi?
 
Mleta mada unaonekana dhahiri kua na chuki binafsi maana ni kama bahati Jana tu nimehudumiwa hapo nna risiti hii hapa
 
Za asubuhi wananzengo wenzangu,

Kuna jambo ambalo nimekuwa nikitatizika sana mimi kama mlipa kodi wa nchi hii.

Naiuliza TRA Mwanza wana uhusiano wowote na SITTA Supermarkert iliyopo maeneo ya Samaki? Hawa watu hawatoi Risiti iwe ya EFD au ya kawaida, ni kwa nini? Are they exceptional? Watoa huduma wengine mmehakikisha wanatoa Risiti, ila huyu hatoi, yeye ni nani hapa nchini?

Tunapoimba uzalendo, ni vema tukawa wazalendo kwelikweli, leo tunapambana na ACCACIA, lakini tuna kina ACCACIA wengi humu mitaani, mmoja wao huyo SITTA. Supermarkert.

Tunaomba hatua zichukuliwe haraka.
Tutatuma wazee wa kazi hapo.
 
Huko kanda ya ziwa ni sehemu aliyotka bashite na baba ake, labda wana msamaha wa kielectronic, Arusha mpaka supu, choocha uma unapewa risiti ya EFD.. lakini bado watakuambia hawaoni halmashauri inayoongozwa na chadema inaisaidiaje serikali, chuki ubinafsi mwisho ndio kuunda tume.
 
Mleta mada unaonekana dhahiri kua na chuki binafsi maana ni kama bahati Jana tu nimehudumiwa hapo nna risiti hii hapa
Siwezi kuwa na Chuki binafsi na mtu nisiemfahamu! Mimi sii mteja wa Mara Moja, nafanya manunuzi Mara nyingi Sana hapo, Wana bidhaa nyingi hicho ndicho kikubwa! Ni ukweli kuwa ni Mara Moja Moja Sana wanatoa Risiti upon a demand! Sina Biashara kama yake, Mimi Nina Kazi yangu inayonipa kiburi cha kuingia huko kwenye Supermarket na kufanya purchase Mara kwa Mara
 
Hata Nono Supermarket kule City Mall hawatoi. Mashine ya risit anaipa mgongo anatumia Calculator ya kawaida kupata hesabu zako. Ukiomba risiti atakuzungusha sana hadi unaondoka
 
yaani unaamka asubuhi badala ya kufikiria mambo ya msingi kuboresha maisha yako unawaza mambo ya wenzako, acha roho mbaya na majungu.
Mbona ujamshauri raisi ache mambo ya akasia afanye yake nyie watu mnashida gani mbona amueleweki mtu kuongea kuhusu mkwepa kodi unatokwa na povu au ni ndugu zako hao
 
Za asubuhi wananzengo wenzangu,

Kuna jambo ambalo nimekuwa nikitatizika sana mimi kama mlipa kodi wa nchi hii.

Naiuliza TRA Mwanza wana uhusiano wowote na SITTA Supermarkert iliyopo maeneo ya Samaki? Hawa watu hawatoi Risiti iwe ya EFD au ya kawaida, ni kwa nini? Are they exceptional? Watoa huduma wengine mmehakikisha wanatoa Risiti, ila huyu hatoi, yeye ni nani hapa nchini?

Tunapoimba uzalendo, ni vema tukawa wazalendo kwelikweli, leo tunapambana na ACCACIA, lakini tuna kina ACCACIA wengi humu mitaani, mmoja wao huyo SITTA. Supermarkert.

Tunaomba hatua zichukuliwe haraka.
Nilinunua kitu pale kama mala 3 hv na sikupewa recept kweli bhana.
 
Ni chuki binafsi dhahiri mkuu. Si vizuri pia kuharibu image za biashara za watu.
Utakuwa na kinyesi kichwani! Chuki binafsi kwa maslahi gani? Hoja ya kipu.mbavu kabisa! Siwafahamu wahusika, Mimi ni mteja mzuri tu wa hiyo Supermarket, Risiti ni lazima itolewe bila hata ya kuiomba! Nina Kazi yangu ya kiasi inayonipa jeuri kuingia mahali popote Mwanza hii, Chuki binafsi mpelekee mkeo akupikie ule unenepe! Hopeless!
 
Hata Nono Supermarket kule City Mall hawatoi. Mashine ya risit anaipa mgongo anatumia Calculator ya kawaida kupata hesabu zako. Ukiomba risiti atakuzungusha sana hadi unaondoka
Nimeingia hapo Mara nyingi unachokiongea ni kweli kabisa! Hii tabia ni kubwa tu kwa Mwanza!
 
Back
Top Bottom