TRA Mpoo? Ushahidi kamili...

Umejuaje kama hawajalipa kodi hapo? ama wewe ni mmoja wao Acha kuendekeza umbea

Ndio kwanza wamepewa hizo, hata risiti hawajatoa, kodi walipe saa ngapi?

Mambo wazi hapo, kodi muhimu.
 
FAIZA Foxy naona mambo super mashallah allahu ibarik na vipi uko pekee au kuna na mdogo wako wa kike ili na mi nije kuleta posa pless lakini mi naishi pemba mkoa chake chake na wilaya ya kichoko chewee na kazi yangu ni kusonga Haluwa na kashata na hapo vipi ni safi
 
Ila tuachane utani wale wa kutakatisha fedha chafu wanaweza kutumia mwanya huu wa kumpa mtu zawadi kumbe wanatimiza mambo yao.
 
Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.
Ukweli mtupu japo watu wengine hawapendi ukweli uliosema, rushwa ilianza huko huko kwa aliokuwepo mwanzo kwenye Serikali yetu wengine wanafata njia na kila tunapokwenda Mbele inazidi! Sababu mtu anasema kwenye mic au kuwambia wananchi tuwache rushwa haimanishi yeye anachukia rushwa au hafanyi rushwa au hakuwahi Kuwa kwenye rushwa! Ila la harusi sijaona vibaya hao kupewa zawadi tatizo hapo zawadi ni noti ingekuwa masufuria tusingesema kitu hata Kama thamani yake Kama hizo noti Pengine wangepewa masufuria ila kuna tatizo mmoja style hizi za kuanika manoti ovyo si vizuri hasa ukitegemea maisha ya wanadamu tofauti tunaopishana nao njiani haivutii zaidi ya hapo tunawatakia Wana harusi ndoa njema na maisha mema na muelekeo Mzuri katika maisha Yao.
 
Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.

Matumizi ya hiyo kodi ndio kipimo pekee cha ongezeko la kodi.
Je unaweza kuainisha matumizi ya hiyo kodi iliyoongezeka??
 
Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.

Wewe mburula tatizo sio kukusanya au kutokusanya kodi ,tatizo liko kwenye utumaji wa hizo pesa unazokusanya!!! Unaweza ukakusanya kodi kidogo lakini ukawekeza kwa akili na ukasaidia nchi yako halafu unaweza ukakusanya nyingi lakini usisaidie maendeleo ya wananchi wako kwani utazitumia hizo kodi kwa mambo ya anasa kama vile kusafiri nchi za nje bila mpango wala tija!!
 
Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.

Hata Mugabe alikuwa anakusanya pesa mpaka anafunga mabenki lakini kashindwa kujenga uchumi wa nchi. Kama pesa haina thamani hata ukusanye vipi itakuwa sawa na toilet paper tu.

Pia tuambie ni awamu gani shilingi ya bongo imekosa thamani zaidi kati ya marais wote waliotawala Tanzania?
 
Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.

a shilling tomorrow is of a less value than a shilling today, and vice-a-versa is a shilling yesterday.
just an economic point of view. anza kuchemsha lako sasa.
 
Huyu jamaa ni kabila gani mshamba hivi??
 




Kumbe watu wengine kufanyiwa ujambazi wanataka wenyewe, sasa kama zawadi si wangefanya Money transfer, tabu yote ya nini kuburuza na toroli. Na kwa mfano katika waliohudhuria hapo kama kuna watu wa kazi(majambazi) si wanaweza ambiana na kuleta maafa
 
Tatizo si TRA tatizo ni sheria za kodi zilizoko.
Tambua hakuna kodi itozwayo njee ya sheria so kama hakuna hiyo sheria usitegemee TRA waje kutoza kodi hilo eneo.
 
Hahahahahahahahahahahaaaa!
Huyo Faiza ndio nani?
Hahahahahaa! Aisee tunatofautiana sana.

Ni ushamba mno mimi naona aisee? Na hio kupiga picha mbele ya kila zawadi WTF? Hehehe sielewi eti!

Na hizo sura pamoja na urembo wooote lakini unaona zimepitia mengi aisee. Halafu napata sense ya fake excitement. Ukiangalia wageni na hata wenye sherehe huoni raha ya kutoka moyoni. Anyways ni view zangu tu!

Ila uongo pembeni, kiswahili swahili it was a major show of money that will impress many!
 
Gadam! Hawa wakali, wa kushoto hajapitia mengi. Can be fir for human consuption

 
Ndio kwanza wamepewa hizo, hata risiti hawajatoa, kodi walipe saa ngapi?

Mambo wazi hapo, kodi muhimu.
mizawadi yote hiyo, hivi huyo faiza fox ana bikra kweli au ndo jamaa anauziwa mbuzi kwenye gunia watu washakula hadi wamechoka. nauliza bkr zote za mbele na nyuma. si unajua mambo yale ya zenji na uarabuni.
 
tax the rich and uplift the poor for good of both rich and the ordinary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…