TRA Mpoo? Ushahidi kamili...

zile za uswis zimelipiwa kodi?
 
Serikali dhaifu haiwezi kukusanya kodi.Maneno ya Nyerere hayo

Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.
 
Waanze kutoza kodi kwanza mshahara na marupurupu ya Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri na Wabunge.
 
Faidha weee faidhaaaa kweli aliyepewa kapewa sihawahi ona zawadi kama hizo ni shidaaa Mwenyezi Mungu awajalie muishi maisha marefu.
 
Hata kimaadili hupashwi kuchezea hela namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…