TRA mnafunga 'Comments' kwa nini, Mnampostia nani?

TRA mnafunga 'Comments' kwa nini, Mnampostia nani?

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
857
Reaction score
2,289
TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu.

Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.

trar.png
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hao TRA wajiangalie sana ni taasisi inayochafuka Kwa kasi
 
Back
Top Bottom