A activist Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 186 Reaction score 296 Mar 28, 2024 #1 Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,233 Reaction score 30,895 Mar 28, 2024 #2 activist said: Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero Click to expand... Network busy kuelekea kufunga mahesabu ya mwisho wa mwezi. kua mustahimilivu tu, na mwenye subra. Ndio changamoto, dosari na kasoro za technologia hizi 🐒
activist said: Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero Click to expand... Network busy kuelekea kufunga mahesabu ya mwisho wa mwezi. kua mustahimilivu tu, na mwenye subra. Ndio changamoto, dosari na kasoro za technologia hizi 🐒