binam wetu
Member
- Sep 11, 2013
- 52
- 14
Kumekua na uonevu mkubwa sana pamoja na mazingira ya rushwa kubwa sana kwa maofisa wa tra makambako mkoa wa njombe.kwanza ukienda kukadiriwa unapigwa bei kubwa ambayo hailipiki nia yao uwatafute nje na ofisi wakutoe kitu kidogo
Pia wengine wana watu wanaowatumia rasmi kukusanya hela ya rushwa .
Tunaomba takukuru wafanye kazi yao mapema sana tena sio takukuru wa pale makambako watagindua ubambikaji kodi kubwa kwa wafanya biashara
Lugha chafu , kejeli na dharau
Hatuwezi kufika uchumi wa viwanda kama wakunya kodi wanakuwa dizaini ya maofisa kodi wa makambako