Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,049
- 7,489
Mbambafu kabisa huyoMkuu wa Wilaya ya Iringa!
Mbambafu kabisa huyoMkuu wa Wilaya ya Iringa!
Hongera TRA hakuna kubembelezana tena mamakema bush laywer kama nyie msipobebewa na bunduki si mtajifanya wajuaji. tulien dawa iwaingie
Sababu unakula kulala sebuleni kwa shemeji huu Uzi haukufai,katazame ngono.Ukianza kujitegemea ndo uje uchangie.Hongera TRA hakuna kubembelezana tena mamake
Sio dawa, wafanyacho SAA hizi km unao mtaji km 10 million,watu wanahamisha mitaji unaenda nchi za Jirani zenye vikwazo na mzunguko mzuri unatafuta vibali halali ili usisumbuliwe ukipata faida ndo unakuja kuwekeza kwenye majengo au ardhi huku home ili yakufae uzeeni.TRA wakiwasimbua sana wafanyabiashara jaribuni ku "organize" mgomo nchi nzima, fungeni maduka na biashara kwa siku kadhaa serikali itatia akili tu, duniani mabadiliko na hali bora haviombwi bali vinadaiwa na kuchukuliwa, ni muda wa kudai hari bora kwa wafanya biashara.
Ndo wajanja wakifanyacho SAA hizi wanahamisha mitaji nchi zingine ili kukwepa kufirisika.Dunia kijiji unaweza ukaenda nchi yeyote yenye mzunguko Mkubwa ukiwa na vibali vyao hawana shida unapiga zako hela maisha yanasonga.Tanzania ni Nchi ngumu kufanya biashara kwa Nchi za kusini maana wana usumbufu sana...Nchi zote ukilipa kodi basi ni kuuza tuu Bongo kodi watu wanalipa tena unaona sijui majembe wanafata risiti Mara police huo ni umasikini wa akili sana...fanyeni kama Zambia au SA kuhakikisha mizigo inayoingia yote ilipiwe kodi tena ya kawaida sio kandaminizi kama hizo kodi ya 40ft contena la suit ni 70milioni hapo mnata watu wakwepe kodi tuu utadhani tumerogwa nguvu nyingi akili kidogo..
Mkuu wameniletea demand notice ya 500mlTakukuru angazieni tra mwenge kuna unyanyasaji mkubwa sana kwa wafanyabiashara kwa makosa ya kutengeneza na faini sizilo endana na mitaji ya watu