TRA kuyapiga mnada magari zaidi ya 400

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,311
152,112
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Uhuru la siku ya leo.

Binafsi sijasoma hilo gazeti bali nimeona hiyo heading hivyo sijui kama magari hayo yako bandarini na wahusika wameshindwa kuyakomboa au ni ni magari ya biashara mimi sielewi.

Swali:All in all,hali hii tafsiri yake ni nini?
 
Ni kweli mnada
 
Attachments

  • FullSizeRender_2.jpg
    FullSizeRender_2.jpg
    41.8 KB · Views: 50
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Uhuru la siku ya leo.

Binafsi sijasoma hilo gazeti bali nimeona hiyo heading hivyo sijui kama magari hayo yako bandarini na wahusika wameshindwa kuyakomboa au ni ni magari ya biashara mimi sielewi.

Swali:All in all,hali hii tafsiri yake ni nini?
Kamanda umeona heading tu halafu unauliza tafsiri?utachanganyikiwa bure.
Kama muagizaji akishindwa kuondoa mzigo ndani ya siku 60,kamishna anatakiwa apige mnada kufidia kodi yake.
Hizo 400 zingine zipo tokea enzi za mkapa wanasafisha yadi
 
Wanapiga lini huo mnada? Nataka kwenda kununua Range Rover zilizokutwa kwenye zile kontena alizofunguliwa Magufuli pale bandarini.
 
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Uhuru la siku ya leo.

Binafsi sijasoma hilo gazeti bali nimeona hiyo heading hivyo sijui kama magari hayo yako bandarini na wahusika wameshindwa kuyakomboa au ni ni magari ya biashara mimi sielewi.

Swali:All in all,hali hii tafsiri yake ni nini?
Tafsiri yake ni rahisi sana. TRA wanakusanya kodi, ukiona wanapiga mnada ujue wenye magari wameshindwa kuyalipia kodi. Does that need a moderate IQ to make sense of it?
 
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Uhuru la siku ya leo.

Binafsi sijasoma hilo gazeti bali nimeona hiyo heading hivyo sijui kama magari hayo yako bandarini na wahusika wameshindwa kuyakomboa au ni ni magari ya biashara mimi sielewi.

Swali:All in all,hali hii tafsiri yake ni nini?
Mkuu hongera kwa kulisoma hilo jarida
 
Kamanda umeona heading tu halafu unauliza tafsiri?utachanganyikiwa bure.
Kama muagizaji akishindwa kuondoa mzigo ndani ya siku 60,kamishna anatakiwa apige mnada kufidia kodi yake.
Hizo 400 zingine zipo tokea enzi za mkapa wanasafisha yadi
Hivi unapataje ujasili wa kusoma uhuru?
 
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Uhuru la siku ya leo.

Binafsi sijasoma hilo gazeti bali nimeona hiyo heading hivyo sijui kama magari hayo yako bandarini na wahusika wameshindwa kuyakomboa au ni ni magari ya biashara mimi sielewi.

Swali:All in all,hali hii tafsiri yake ni nini?
Tafsiri yake ni kuwa walioyaagiza ni wakwepaji wakubwa wa kodi na walishafanya kuzoea
 
Swali:All in all,hali hii tafsiri yake ni nini?
Mkwara huo! TRA ikiyapiga mnada magari yetu, na sisi tutazipiga kiberiti ofisi zao...
Hayo ni yale magari unakuta mtu unadaiwa pesa kwenye TIN number labda una gari jingine lilishakufa na bado eti unadaiwa ulilipie...
 
Tulikuwa tunalaumu Serikali zilizopita kwa kutokukusanya Kodi ipasavyo na Kilio kikaskika
 
Mkwara huo! TRA ikiyapiga mnada magari yetu, na sisi tutazipiga kiberiti ofisi zao...
Hayo ni yale magari unakuta mtu unadaiwa pesa kwenye TIN number labda una gari jingine lilishakufa na bado eti unadaiwa ulilipie...
unajua unachoongea au upo under influence ya kiroba?
 
Back
Top Bottom