kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,744
Mlolongo ni mrefu sana! Moja kwa moja mna-discourage watu.
Ushauri: Ingekuwa;
"Ripoti TRA, utapangiwa siku ya kupewa Ofisa wa TRA akiambatana na Traffic Officer kwenda kujiridhisha.
Utapewa fomu ya kujaza ikiambatana na kadi ya gari.(usisahau kitambulisho cha Taifa)