Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,660
Mnyororo wa hela inatengenezwa. Si unamuita home Ndugu. Au gerejiSasa chombo hakitembei,kitafikaje trafiki kwa ukaguzi
Mnyororo wa hela inatengenezwa. Si unamuita home Ndugu. Au gerejiSasa chombo hakitembei,kitafikaje trafiki kwa ukaguzi
Load License inarudiKufuta Usajili wa Vyombo vya Moto
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwajulisha watu wote wanao miliki vyombo vya moto (magari, matrekta, pikipiki na matela) ambavyo havipo tena barabarani au haviwezi tena kurudi barabarani kwa sababu ya uchakavu, kuwasilisha maombi yao TRA ya kuvifuta kwenye usajili.
Kwa mujibu wa Kanuni Namba 177 ya mwaka 2001 ya Sheria ya Usalama Barabarani ya Mwaka 1973 kinamtaka mwenye chombo cha moto ambacho hakifai kuwa barabarani kuomba kufutwa kwenye usajili wa magari
Mwongozo:
1. Mmiliki atatakiwa kwenda Ofisi ya Usalama Barabarani (Polisi) kwa ukaguzi wa chombo cha moto na kupata cheti cha ruhusa ya kufuta usajili
2. Mmiliki atatakiwa kuwasilisha barua ya maombi ya kufuta usajili ofisi ya TRA iliyokaribu ikiambatanishwa na kadi halisi ya gari na cheti kutoka ofisi ya usalama barabarani
3. Baada ya TRA kuridhika na taarifa zilizowasilishwa maombi yatakubaliwa na chombo husika kitafutwa kwenye usajili na mmiliki atapewa cheti kuthibitisha kufutwa kwa chombo husika
Lengo:
Lengo la tangazo hili ni kuwahimiza wenye vyombo vya moto ambavyo haviko barabarani kuwasilisha maombi ya kufuta usajili haraka ili Serikali iwe na kumbukumbu sahihi ya idadi ya vyombo vya moto vinavyotembea barabarani kwa ajili ya kurahisisha mipango yake ya maendeleo ya taif
Mtu amepigwa radi eti polisi inachungunza chanzo cha kifo chake.Sasa chombo hakitembei,kitafikaje trafiki kwa ukaguzi
Utamkodia tax trafficSasa chombo hakitembei,kitafikaje trafiki kwa ukaguzi
Awatapata zaidi kuliko mfumo wa sasaLoad License inarudi
Sasa chombo hakitembei,kitafikaje trafiki kwa ukaguzi
Kwa hiyo tuseme tu kuwa hiyo ni sensa ya magari au siyo???.Kufuta Usajili wa Vyombo vya Moto
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwajulisha watu wote wanao miliki vyombo vya moto (magari, matrekta, pikipiki na matela) ambavyo havipo tena barabarani au haviwezi tena kurudi barabarani kwa sababu ya uchakavu, kuwasilisha maombi yao TRA ya kuvifuta kwenye usajili.
Kwa mujibu wa Kanuni Namba 177 ya mwaka 2001 ya Sheria ya Usalama Barabarani ya Mwaka 1973 kinamtaka mwenye chombo cha moto ambacho hakifai kuwa barabarani kuomba kufutwa kwenye usajili wa magari
Mwongozo:
1. Mmiliki atatakiwa kwenda Ofisi ya Usalama Barabarani (Polisi) kwa ukaguzi wa chombo cha moto na kupata cheti cha ruhusa ya kufuta usajili
2. Mmiliki atatakiwa kuwasilisha barua ya maombi ya kufuta usajili ofisi ya TRA iliyokaribu ikiambatanishwa na kadi halisi ya gari na cheti kutoka ofisi ya usalama barabarani
3. Baada ya TRA kuridhika na taarifa zilizowasilishwa maombi yatakubaliwa na chombo husika kitafutwa kwenye usajili na mmiliki atapewa cheti kuthibitisha kufutwa kwa chombo husika
Lengo:
Lengo la tangazo hili ni kuwahimiza wenye vyombo vya moto ambavyo haviko barabarani kuwasilisha maombi ya kufuta usajili haraka ili Serikali iwe na kumbukumbu sahihi ya idadi ya vyombo vya moto vinavyotembea barabarani kwa ajili ya kurahisisha mipango yake ya maendeleo ya taifa
Swali zuri,japo Sijui nini kitatokea??.Nisipoenda toa taarifa nini kitatokea?
Yaani mfumo wa Sasa utaendelea, na Load license juu yaani double taxation. Hii ndiyo tz mwananchi anakamuliwa Hadi Basi.Awatapata zaidi kuliko mfumo wa sasa
Naskia Japan kuna ukomo wa kilomita za vyombo vya moto. Zikiisha hizo kilomita basi chombo cha moto hakiruhusiwi barabarani. Lengo la kufanya hivyo ni kuhifadhi mazingira.
Ukija huku kwetu (TZ), mambo ni tofauti. Unakuta gari au pikipiki ya miaka mingi na kilomita kibao ila ipo barabarani.
Sasa, je, kuna ubaya gani kwa hapa Tanzania magari namba A yakaondolewa barabarani?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Gari litapelekwaje kukaguliwa wakati halitembei na halifai tena, au litapebwa na fuso kwenda kukaguliwa...Kufuta Usajili wa Vyombo vya Moto
Mwongozo:
1. Mmiliki atatakiwa kwenda Ofisi ya Usalama Barabarani (Polisi) kwa ukaguzi wa chombo cha moto na kupata cheti cha ruhusa ya kufuta usajili
Hapa mimi ndo huwaga sielewi. Kwanini kuna sheria za zamani sana kwenye maisha ya kisasa? Hivi kweli mwaka 1973 inaweza kuwa relevant mwaka 2022?
Katiba mpya ni lazima.
Pakia kwenye FUSO ukipeleke kikaguliwe then kirudishe kilipokua. Ikiwezekana kifanyie mazishi.TRA njooni mjibu
Japan vs TanzaniaBasi tuangalie hata km. Magari yenye kilomita nyingi yaondolewe barabarani.
Mbona Japan magari ni mazima ila yanaondolewa barabarani kwa sababu ya km nyinhi?
Unajua sisi TZ hatujali kabisa afya. Unakuta gari linatoa moshi mweusi na lipo barabarani tu!
Nimejaribu kufanya utafiti. Magari mengi namba "AAA" ni ya zamani sana, na tena yana kilomita nyingi sana, hivyo yaondolewe kwani yanazalisha kiwango kikubwa cha hewa chafu!
Wachache sana wenye magari kumi mchanganyiko yaani namba "AAA" na namba "D". Wengi wenye namba "AAA" wanalo moja wanajikongoja nalo!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wavivu wa kutumia Teknolojia,Ukiona hivyo ukifika tu unalipia ada ya kuondoa gari yako kwenye usajili.
Bado utawalipa polisi kuja kwenye karakana yako kukagua gari.
Ahahha hii nchi ni ngumu sana, hela inasakwa. Dunia ya leo kwa nini wasije na teknolojia kila kitu kikafanyika kwa njia ya internet.
Taasisi za serikali zinapenda kujaza sana watu ofisini kwao