Poleni na majukum na mihangaiko ya kulisaka tonge..
Ni mda kidogo sikuwepo humu kutokana na shughuli mbalimbali za kizalendo kwenye taifa langu lakini nimeudi tena
Husika na kichwa cha habari hapo juu kuhusu hii mamlaka ya ukusanyaji kodi t.r.a. hivi vile vitu wanavyotumia vikiwemo vyombo vyao vya usafiri na maofisini kodi zao huwa wanalipiaje..