TRA, kansa inayoimaliza bandari ya Dar es Salaam

Hii ni bandari kichefuchefu.

Kwa mfano ukitaka kutoa gari kila kona ni rushwa na ni kama wanakulazimisha na usipotoa wanakukomoa kwa kukuchelewesha

ukishatoka hapo tra kuna tpa ambapo kukagua gari yako sometimes wanataka laki mbili hadi na nusu

kwenda kuitoka kila section unayopita wanataka uache kidogo

then unapotoa gari unakuta wamechomoa kitu halafu ukifika hapo getini jamaa wanakuuzia kitu kile kile walichokitoa

takukuru please mulika huu uozo unaonukisha nchi yetu

i am a tanzania lakini kwa sasa nimeamua kutumia bandari ya mombasa maana wapo business minded. Big up kenyans.

We need a corruption revolution in this country

wananchi wanaonewa sana na kunyanyaswa na hizi taasisi ambazo zipo kwa ajili ya kuwasaidia.

Everything going on is well known by governing authorities but it a bit disgusting it has been left to continue for such long
 
Hapo kunatakiwa kuwe na Suggestion box kubwa ambalo ufunguo watakaa nao PCB wenyewe wakija wanafungua wanaangalia nani anakula rushwa wanaondoka nae!
 
Hii ni bandari kichefuchefu.

Kwa mfano ukitaka kutoa gari kila kona ni rushwa na ni kama wanakulazimisha na usipotoa wanakukomoa kwa kukuchelewesha

ukishatoka hapo tra kuna tpa ambapo kukagua gari yako sometimes wanataka laki mbili hadi na nusu

kwenda kuitoka kila section unayopita wanataka uache kidogo

then unapotoa gari unakuta wamechomoa kitu halafu ukifika hapo getini jamaa wanakuuzia kitu kile kile walichokitoa

takukuru please mulika huu uozo unaonukisha nchi yetu

i am a tanzania lakini kwa sasa nimeamua kutumia bandari ya mombasa maana wapo business minded. Big up kenyans.

We need a corruption revolution in this country

wananchi wanaonewa sana na kunyanyaswa na hizi taasisi ambazo zipo kwa ajili ya kuwasaidia.

Everything going on is well known by governing authorities but it a bit disgusting it has been left to continue for such long

Huu ujumbe wako unatakiwa umfikie Mwakyembe copy kwa Takukuru kama ulivyo.
 
The PCCB Head Office is located at:
The junction of kalenga and Urambo Street
Upanga
Dar es salaam.
You can also contact us through the following address:
Director General
Prevention and Combating of Corruption Bureau

Dar es salaam
Tanzania
emailButton.png
dgeneral@pccb.go.tz This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
http://www.pccb.go.tz
 
Back
Top Bottom