Ndugu zangu nimeagizia Container moja la Tiles toka ulaya ili nianze biashara ya vigae/tiles kama mzalendo nataka kijiimarisha kiuchumi.
Lakini kwa masikitiko makubwa baada ya mzigo kufika hapa TRA bila huruma wamebadilisha bei ya bidhaa hii toka dola 4 kwa sqm bei niliyo nunulia na kuweka dola 10 kwa sqm.
Ushuru mwazo nilishalipa mil 7 na sasa natakiwa kuongeza mil 7 nyengine , mil 14 kwa container moja !! kwa hakika inasikitisha sana.
Lakini cha kushangaza ni kuwa wafanya biashara WAKUBWA wenye asili ya KIASIA wanapitisha container zao na wanalipia mil 5 tu kwa container na wala container zao hazi kaguliwi bandarini zinatolewa fasta fasta!
Je kwa mwendo huu sisi Wazalendo wadogo tutafanikiwa kujijenga kiuchumi kwa TRA hii yenye Tabia Hii NASIKITISHA SANAAA .