TRA...haya yana ukweli?

Mtized one

Member
Jul 27, 2011
46
7
Recently..nimepata taarifa kuwa TRA wanaemploy fresh graduates tu..ikiwa umeaply then kwenye CV umepost working experience basi nikigezo tosha kukuchuja..ikiaminika kuwa wenye working exprc ni mabingwa wa Fraud.....Je hii ni kweli??
 
kama wanaweza kuja na hii strategy basi (kwa Tanzania) inaweza kusaidia lakini hawa wakianza kuiba, tuombe Mungu tuwepo na kushuhudia!
Tunahitaji mfumo mpya tu mengine ni 'longolongo'!
 
kwani mwenye njaa na aliyeshiba yupi anaposibility kubwa ya kuiba?if then its true they have to thing twice
 
Barclays Bank walikuja na mtindo wa kuajiri graduates mbona walikiona cha moto1 vijana walikwiba kwa kasi ya ajabu maana kila mtu anataka awe na gari, ajenge nyumba akishindwa sana apange nyumba nzima!
 
WaTZ tokea mashuleni wanafundishwa kuiba. Unategemea nini hapo?
 
sidhani, may be wanahitaji new challenges coz watu wa zamani wamesoma vya zamani, wapya wana mapya
 
Recently..nimepata taarifa kuwa TRA wanaemploy fresh graduates tu..ikiwa umeaply then kwenye CV umepost working experience basi nikigezo tosha kukuchuja..ikiaminika kuwa wenye working exprc ni mabingwa wa Fraud.....Je hii ni kweli??
Kwani hao wazoefu walizaliwa wakiwa mabingwa wa fraud..??? Hata hao mafresh graduates nao kuna wakati watakuwa hivyo
 
nikweli.mwaka jana wamechukuliwa october.hata wengine walikua hawajafanya grduu.walichukuliwa kibao tu zaidi ya 24.
 
Sasa hii siwanashawishi watu wasiwe wa kweli....kwa kutoidentfy kuwa anaexperience ya kaz?.....Hii nchi hii mtu akae tuuu since July amemaliza chuo bureee akitegemea kuaply TRA while kuna proba ya kupata hiyo post!<br />
This is 100% a crap.....Hawa wanafikiri hizi ni enzi zao zile za kupata ajira kwa kuombwa ukiwa shuleni...?sasa na ninyi mlio watoto wa hawa wakuu mkiwa hapo home si muwaelimishe wazazi wenu....nini hikiii....!!!!
 
Back
Top Bottom