Ni kweli T.R.A wana ukakasi mkubwa kwenye kukadidia kodi . Wee kama huna unayefahamiana naye kodi itapanda mara dufu kila mwaka na adhabu zisizo na tija. Lakini ukitoa chochote yatapanda kidogo sana au yasipande kabisa. Na mbinu wanayotumia wanakuwa na watu wao nje ya ofisi kwa kwa hiyo ndio waunganisha mipango.Najua mmeanza kubanwa na TRA hadi saa nne usiku kwa msiotoa risiti za EFD sasa isije ukawa wewe ni muathirika wa jambo hilo unataka kumchafua Mollel.
Mollel ni nani? Elezea au ni yule mzee wa TRA?Inasikitisha sana Arusha TRA mnanyanyasa wafanya biashara [HASHTAG]#Mollel[/HASHTAG] TRA najua wengi yamewafika sina haja ya kuelezea kiundani.