Ndivyo serikali hii inavyowatesa watu wake kwa kodi za kubambikiziwa hata kama hakuna mapato yoyote, udhalimu huu mwisho October.Tangu jana TRA Arusha,wanasambaza massages kwa wafanyabiashara wote wa Jiji hili la Arusha.
Mwisho wa mwezi September 2020 wafanyabiashara wanatakiwa kulipa SDL,VAT & kodi ya mapato awamu ya 3 na kodi za wafanyakazi vinginevyo adhabu kali ikiwemo riba zitatozwa.
Biashara ktk mji huu unaotegemea utalii zimedorora sana hakuna mauzo ya maana na kibaya zaidi TRA haina mpango wa kushusha kiwango cha kodi ya mapato kuendana na hali halisi ya sasa.
Wakati bado hali haijaka sawa TRA wamekuja na vitisho.Tunajiuliza hivi TRA wanetumwa na Lissu au kuna mkakati wa siri wa kuiangamiza CCM.
Sijui hali iko vipi mikoa mingine
Mkuu ndio kusema umemuamini Lisu aliposema kuwa hatatoza kodi kabisa??
Kwahiyo pendekezo lako ni kuwa usilipe kwa miaka mingapi??Hakuna serekali duniani isiyotoza kodi lakini kina mazingira ambayo lazima uzingatia kabla ya kuchukua fedha kutoka katika biashara au viwanda.
Ni ajabu biashara nyingi zipo hoi lkn bado unataka kodi
Tangu jana TRA Arusha,wanasambaza massages kwa wafanyabiashara wote wa Jiji hili la Arusha.