Uchaguzi 2020 TPSF na Siasa za Uchaguzi: Waandaa mkutano kumpongeza Rais Magufuli kwa mafanikio makubwa ya miaka 5 iliyopita

Mbona huyu mama wa tpsf mjaluo anaongea kama anasitasita? yaani kama anayoongea hayajui daah
 
Very stu.pi.d sekta binafsi imekufa, Makampuni yamekufa afu mnanfaa kongamano la kipuuzi kama hili
 
Wapuuzwe hao kenge
 
Hawa si ndio wahanga wa huu utawala kwa kusababisha kudumaa kwa biashara zao. Huu ndio woga anaoungelea Butiku.
 
Sekta BINAFSI iko HOI BIN TAABAN,

MNAPONGEZA NINI?

"MWOGOPENI MUNGU"

UNAFIKI HUO MAJUTO YAKE YATAKUWA MABEGANI MWENU.
 
Very stu.pi.d sekta binafsi imekufa, Makampuni yamekufa afu mnanfaa kongamano la kipuuzi kama hili
Pagan hii hoja ina mapungufu. We have more dollar millionaires in this country than any other time in history of our nation. We are leading by far in East Africa and SADC only south africa is ahead of us.
Hakuna umaskini by how to share a cake.
 
Sekta BINAFSI iko HOI BIN TAABAN,

MNAPONGEZA NINI?

"MWOGOPENI MUNGU"

UNAFIKI HUO MAJUTO YAKE YATAKUWA MABEGANI MWENU.
Na iko hoi kwasababu ya sera za majukaani ambazo hazidumu naniza mtu mmoja ambazo hazina sheria wala kanuni ya kuzisimamia,mfano matumizi ya jeshi kwenye ununuzi wa korosho 'policy uncertainty'
 
Hili ni tamasha la kumbukizi ya wafanyabiashara waliokufa kwa pressure kwa sababu ya kufilisiwa na TRA?
 
Pagan hii hoja ina mapungufu. We have more dollar millionaires in this country than any other time in history of our nation. We are leading by far in East Africa and SADC only south africa is ahead of us.
Hakuna umaskini by how to share a cake.
Provide to us some data to substantiate your claim. La sivyo ni si-hasa.
 
Hutaki wampongeze kwa uongozi wake mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…