Naomba kuuliza TPGS 6 ni mshahara kiasi gani? tafadharini naomba msaada kwa anayefaham
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza TPGS 6 ni mshahara kiasi gani? tafadharini naomba msaada kwa anayefaham
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan jamaa wameshaita mkuu?Naomba kuuliza TPGS 6 ni mshahara kiasi gani? tafadharini naomba msaada kwa anayefaham
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika ila niliuliza humuhumu nikaambiwa ni baada ya wiki tatu baada ya kufanya oral so i think kwanzia sasa muda wowote wanaweza kuweka majibu.
Asante mkuu all the best....Sina uhakika ila niliuliza humuhumu nikaambiwa ni baada ya wiki tatu baada ya kufanya oral so i think kwanzia sasa muda wowote wanaweza kuweka majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen, Let it beAsante mkuu all the best....
Natumaini utapata hii nafasi nia yako Ni thabiti hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
670,000 hutaki nenda PrivateNaomba kuuliza TPGS 6 ni mshahara kiasi gani? tafadharini naomba msaada kwa anayefaham
Sent using Jamii Forums mobile app