Tpesa mmeniweza

SyntaxReaper

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Posts
364
Reaction score
293
Habari wakuu,

Jana asubuhi nmetumiwa hela kwa mtandao tajwa ili nkafanye malipo kadhaa, kasheshe kwenda kutoa pesa husika napata ujumbe "Transaction not allowed, you will receive short message".

Nikiulizia salio pia inagoma, nikipiga customer service naambiwa wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine, kifupi hakuna msaada, na hiyo hali inaendelea mpaka sasa.

Kama kuna hitilafu kwanini msiwataarifu wateja wenu mapema?

Wanafeli sana.
 
Sio kwenye tpesa tuu hata ukitaka kutumia sim bank kwa laini ya TTCL utakesha mkuu najuta sana kusajili huduma za kibank na huu mtandao wao ..

Hawa kila eneo wana dosari
 
Sio kwenye tpesa tuu hata ukitaka kutumia sim bank kwa laini ya TTCL utakesha mkuu najuta sana kusajili huduma za kibank na huu mtandao wao ..

Hawa kila eneo wana dosari
Lkn ni hivi karibuni tu,ttcl walianza poa sn,lkn cku hizi internet inwz ikakata for 24hrs,internet nilishaacha kutumia wao baada ya hilo la kukata masaa 24
 
Nadhani Hili shirika linahujumiwa na wamiliki wa mitandao binafsi. Kipindi cha Jiwe huu upuzii haukuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…