radio hovyo hutangaza hovyo.Ni kama wiki mbili zimepita nilikuja kuuliza lile tangazo la kazi 500,nafasi hzo zilikuwa zikitangazwa clouds fm,naamini mnalikumbuka.
katika pita pita zangu humu jukwaani,nimekutana na post ikihusisha tpdc kukataa uhalali na ukweli wa tangazo lile,huu ni uwizi wa wazi kabisa na wahusika walitoa namba kabisa.
Clouds fm,najiuliza hivi hizi redio huwa zinaruhusiwa kuchunguza matangazo yake,clouds kama institution inaheshimika kwa wasikilizaji wake,tangazo lilienda kwao na wao wakalitangaza,najiuliza tutaweza kuproove vp kwamba wao siyo sehemu ya utapeli huu,kwa kuwatumia clouds wale jamaa wangeweza kupata hata watu 1000 or zaidi na ada ya chini kwenye tangazo lao ilikuwa ni 500,000 na kuchukua form ni 20000 na kuna uwezekano wapo walioibiwa tayari,sheria ya matangazo yanayoenda redio inasemaje kuhusu uthibitisho wa ukweli wa kitangazwacho kabla hakijaiathiri jamii? kama nimetapeliwa na tangazo lilipita kwao nikienda kufungua kesi na kuwashitaki wote(clouds na wale jamaa) haki yangu ikwapi? Na inawezekana lile shirika la elimu limekula njama na clouds kupiga pesa ya haraka haraka.
Vyombo vya dola,ni wazi sasa shirika hili ni fake na hawa ni matapeli,muda ndo huu wa vyombo vya dola kuwashughulikia matapeli kama hawa,na kadri cku zinavyosonga mbele wanazidi kuongezeka,ipo cku zitatoka nafask za kweli na vijana wakashindwa kuchangamkia fursa kwa kudhani ni matapeli,muda umefika wa selikali kuanza kuwashughulikia vibaka hawa kama vibaka wengine.
Wanaosikilza clouds hawajitambui
Ni kama wiki mbili zimepita nilikuja kuuliza lile tangazo la kazi 500,nafasi hzo zilikuwa zikitangazwa clouds fm,naamini mnalikumbuka.