TPDC yakanusha utapeli wa ajira 500

TPDC yakanusha utapeli wa ajira 500

mullaX

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
312
Reaction score
97
SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA UVUMI WA KUAJIRI VIJANA 500 NA KUWAPATIA MASOMO YA MAFUTA NA GESI

Kuna taarifa zimeendelea kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na maelezo kuwa: " Serikali kupitia Shirika la Elimu Tanzania, TPDC kwa ushirikiano na kampuni za oil and gas, wanatarajia kuajiri vijana wapatao 500 katika sekta hii mpya Tanzania kuanzia mwezi Januari na Machi 2015, hivyo wameandaa crush program itakayoanza 6 Oktoba 2014. Walengwa ni vijana wenye elimu ya form 4 na form 6 ambao watasoma kwa miezi 6 na kupelekwa kwenye ajira moja kwa moja baada ya kuhitimu!..kwa wale wenye elimu kuanzia diploma watasoma kwa miezi 3, kozi ya oil and gas management!...Ada kwa kundi la kwanza ni tshs 1,150,000 na kundi la pili ni Tsh 550,000. Kwa yeyote mwenye kuhitaji fursa hii akachukue fomu Shirika la Elimu Tanzania, application form ni Tsh 20,000 na deadline ni tarehe 30 Septemba 2014".

TPDC inapenda kuwaeleza Watanzania kuwa habari hizo si za kweli na kwamba TPDC haijafanya makubaliano yoyote na Shirika la Elimu kuhusu suala hilo. TPDC inawaasa Watanzania kuchukua tahadhari ya matangazo ya aina hiyo na inapotokea, tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu zilizooneshwa hapo nchini.

IMETOLEWA NA
KITENGO CHA MAWASILIANO,

​
​​​​BWM Pensions Towers, Tower A,
​​​​Junction of Azikiwe /Jamhuri Streets
​​​P. O. Box 2774,
​​​Tel: +255 22 2200103/4
​​Dar-es-Salaam, Tanzania
 
TPDC-tanzania-petrol-development-corporation.gif

Big up kwa h kampuni kama ni kwel wameonyesha wanajitambua!
 
Jamaa walishakula pesa za application forms na kama kuna walioishalipa hizo ada imekula kwao. Unaetafuta ajira kuwa makini sana.
 
Asante

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni kama wiki mbili zimepita nilikuja kuuliza lile tangazo la kazi 500,nafasi hzo zilikuwa zikitangazwa clouds fm,naamini mnalikumbuka.

katika pita pita zangu humu jukwaani,nimekutana na post ikihusisha tpdc kukataa uhalali na ukweli wa tangazo lile,huu ni uwizi wa wazi kabisa na wahusika walitoa namba kabisa.

Clouds fm,najiuliza hivi hizi redio huwa zinaruhusiwa kuchunguza matangazo yake,clouds kama institution inaheshimika kwa wasikilizaji wake,tangazo lilienda kwao na wao wakalitangaza,najiuliza tutaweza kuproove vp kwamba wao siyo sehemu ya utapeli huu,kwa kuwatumia clouds wale jamaa wangeweza kupata hata watu 1000 or zaidi na ada ya chini kwenye tangazo lao ilikuwa ni 500,000 na kuchukua form ni 20000 na kuna uwezekano wapo walioibiwa tayari,sheria ya matangazo yanayoenda redio inasemaje kuhusu uthibitisho wa ukweli wa kitangazwacho kabla hakijaiathiri jamii? kama nimetapeliwa na tangazo lilipita kwao nikienda kufungua kesi na kuwashitaki wote(clouds na wale jamaa) haki yangu ikwapi? Na inawezekana lile shirika la elimu limekula njama na clouds kupiga pesa ya haraka haraka.

Vyombo vya dola,ni wazi sasa shirika hili ni fake na hawa ni matapeli,muda ndo huu wa vyombo vya dola kuwashughulikia matapeli kama hawa,na kadri cku zinavyosonga mbele wanazidi kuongezeka,ipo cku zitatoka nafask za kweli na vijana wakashindwa kuchangamkia fursa kwa kudhani ni matapeli,muda umefika wa selikali kuanza kuwashughulikia vibaka hawa kama vibaka wengine.
 
Tuanzie hapo uliposema clouds ni institution inayoheshimika. Inaheshimika na nani? media house gani haina miiko wala ethnics
 
radio hovyo hutangaza hovyo.
 
Saa hizi mkienda kwenye ofisi za hao matapeli hata Finger print zao hamzikuti
 
Attachments

  • 1411483396640.jpg
    1411483396640.jpg
    66.3 KB · Views: 335
Wanaosikilza clouds hawajitambui

tatizo watanzania wengi wanapenda vitu rahisi, iweje utoe hela upate kazi, kwanin usiwaze kama kweli nafasi zinaexist basi watoe tangazo watu wafanye applications watakaopita interview waajiriwe then b4 starting job ndio wapelekwe hiyo training, yan wakamatwe hao matapeli na wote waliotapeliwa maana hao ni watoa rushwa wazuri
 
Ni kama wiki mbili zimepita nilikuja kuuliza lile tangazo la kazi 500,nafasi hzo zilikuwa zikitangazwa clouds fm,naamini mnalikumbuka.

katika pita pita zangu humu jukwaani,nimekutana na post ikihusisha tpdc kukataa uhalali na ukweli wa tangazo lile,huu ni uwizi wa wazi kabisa na wahusika walitoa namba kabisa.

Clouds fm,najiuliza hivi hizi redio huwa zinaruhusiwa kuchunguza matangazo yake,clouds kama institution inaheshimika kwa wasikilizaji wake,tangazo lilienda kwao na wao wakalitangaza,najiuliza tutaweza kuproove vp kwamba wao siyo sehemu ya utapeli huu,kwa kuwatumia clouds wale jamaa wangeweza kupata hata watu 1000 or zaidi na ada ya chini kwenye tangazo lao ilikuwa ni 500,000 na kuchukua form ni 20000 na kuna uwezekano wapo walioibiwa tayari,sheria ya matangazo yanayoenda redio inasemaje kuhusu uthibitisho wa ukweli wa kitangazwacho kabla hakijaiathiri jamii? kama nimetapeliwa na tangazo lilipita kwao nikienda kufungua kesi na kuwashitaki wote(clouds na wale jamaa) haki yangu ikwapi? Na inawezekana lile shirika la elimu limekula njama na clouds kupiga pesa ya haraka haraka.

Vyombo vya dola,ni wazi sasa shirika hili ni fake na hawa ni matapeli,muda ndo huu wa vyombo vya dola kuwashughulikia matapeli kama hawa,na kadri cku zinavyosonga mbele wanazidi kuongezeka,ipo cku zitatoka nafask za kweli na vijana wakashindwa kuchangamkia fursa kwa kudhani ni matapeli,muda umefika wa selikali kuanza kuwashughulikia vibaka hawa kama vibaka wengine.

Hata gazeti la mwananchi lilishawahi kuchemka kwa kuweka tangazo la matapeli wa kutoa scholarship/sponsorship kwa wanafunzi wa vyuo bila kuhakiki...
 
Kweli radio MAWINGU ina mambo ya kijinga sana....yaani kama wanaweza kurusha tanganzo husika kwa kipindi cha takriban wiki moja na ushee,ili hali tanganzo ni la kihuni,je hatua gani zinachukuliwa dhidi yao maana ni dhairi wanawafahamu walio leta tanzango.Hivyo ni rahisi wao kwa kushirikiana na jeshi la polisi kuhakikisha sheria inafuata mkondo wake kwa waliotapeliwa kurudishiwa haki yao.Daah kweli huu ni upunguwani kabisaaa!
 
Back
Top Bottom