Wake tuliofanya interview pale tambaza jamaa walisema tuangalie web site Yao ila mbona kimya au vi memo vinatembea
Wake tuliofanya interview pale tambaza jamaa walisema tuangalie web site Yao ila mbona kimya au vi memo vinatembea
Hahaaaha watu mna moto tulieni nafasi zenyewe utakuta mbili mliofanya interview mia!
na mm nawasubiri, tusiwafikirie kwamba vimemo na nn, wanasahisha naamini, ile mara ya kwanza walifanya fasta labda ilikuwa nguvu ya soda, nw ndo wana mwaga wino, c unajua wabongo kuandika?
Msaada kidogo wakuu, vp interview ilkuaje, maswali yao yanahusu nn??
Wale waliofanya mwanzoni mfano madereva, CPE na mechanical majibu yalitoka kesho yake.Mkuu hata mimi nasubiri kwenda kufanya huo usahili. Ila kwa mimi natakiwa nifanye tarehe 10 April so huenda wanasubiri wote wafanye ndio watoe majibu.
Nikweli kabisa kuna sehemu nyingine watu wa 5 interview watu zaidi ya 600.
Field yangu ni nafasi 26 watu 81.
Bora nyie sisi tulikuwa 70 nafasi zenyewe 8 Madereva 400 na kitu nafasi zenyewe 10Nikweli kabisa kuna sehemu nyingine watu wa 5 interview watu zaidi ya 600.
Field yangu ni nafasi 26 watu 81.
Bora nyie sisi tulikuwa 70 nafasi zenyewe 8 Madereva 400 na kitu nafasi zenyewe 10
Wewe komaa tu ila usiingie deep sana maana mtihani wenyewe maswali ya kawaida ila yana mitego. Mimi ndiyo nachungulia matokeo website yao kila dakika naona bado.
Mtihani unatungwa na walimu wa chuo kikuu kulingana na fani yakoMsaada kidogo wakuu, vp interview ilkuaje, maswali yao yanahusu nn??
Kwa mfano wale wa uhasibu walikua wanauliza maswali yote kwenye standards
Mfano kuna swali ndo nimelisoma jana kwenye review
1."Depreciation is ceased to be charged on Inventory when it is "held for sale"
2. Carying value of An asset = the lower of
1. Cost
1. Fv less disposal cost
Nk
Paper ilikua tamu sanaa japo hayo yote nimekosa, watakaopita ile interview nitawakubali sana... Ilikua very standard na ukipita kweli we kichwa...
In this world nothing is certain than Tax and Death.