TPA yalijibu gazeti la Jamhuri juu ya habari ya ''Ulaji Bandarini''

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Nipashe 22/4/2016 , pg 9

Gazeti la Jamhuri la tarehe 19-25, 2016 ''ulaji bandarini''
Meneja anunua shangingi la mil 500
Limetengenezwa kwa order maalum
Kampuni ya ukoo yalipwa nusu bilioni kila mwezi
Pesa za umma zatumika kuitetea,

TPA imekanusha , kuwa Jamhuri linachafua taswira ya Bandari na kuchafua utendaji ya Bw. Mhanga.

Kampuni ya hai inatetewa na Bandari kwani waliokosa tender wameongopa PPRA kuwa haijafikisha miaka ya kutosha , na kupewa zabuni. Kampuni ina miaka 8. Ndo maana inaitetea.
 
Habari yako ni nzito lakini ulivyo lipua lipua inaonekana kama haina point. Unaonaje ukimaliza kwanza unachofanya kisha uiandike vizuri /edit.
 
Back
Top Bottom