Nipo jirani kabisa na mhe rage hapa nyumbani kwake ghafla waandishi wa tbc wameingia na kunatetesi za tp mazembe kuchakachua baadhi ya taratibu. Subirn wamalize kuzungumza na mhe nitawajuza
Mwisho wa uongo kwenye hii siku si saa nne jamani? Nasikia kuna mtu katangaza babu wa loliondo yupo viwanja vya jangwani wacha watu wafurike pale......
Mungu aliharamisha uongo, kila afanyaye uongo ajue anamuudhi Mungu. Ole wako wewe na mimi tunayejihusisha katika upuuzi huo. Ukiongopa humpunguzii Mungu hata chembe ila jua unajichimbia kaburi mwenyewe.