Tozo ni wizi, hakuna jina lingine

Tozo ni wizi, hakuna jina lingine

muonamambo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
879
Reaction score
551
IMG_2963.jpg

Tozo ni wizi, hakuna jina lingine zuri unaweza kulipamba.

Mbaya zaidi tozo hizi zinatozwa na serikali dhidi ya watu wake masikini.
Bunge lolote halali lisingeweza kuhalalisha wizi huu wa mchana kweupe dhidi ya raia wake.

Kila 100,000 utakayotoa benk na kumtumia mzazi wao itakuwa na makato yafuatayo:

Kiasi unatoa bank 100,000
Bank charges 2500
18% Vat ya charges 450
Tozo ya wizi 1016
Kutuma pesa Airtel ada 1440 toka Tigo
Tozo ya wizi. 1009
Kutoa 100,000 makato na. Tozo 4690

Jumla yamakato halali na Tozo 11,105 … kwa mwezi makato na a tozo yanaweza kuzidi 100,00

Je, tunaweza jenga uchumi kwa stahili hii . Hapo bado mshahara wa mtu huu ulikatwa kodi ya 9%.

Makato tu kwa mwezi kwa mwalimu wa mshahara wa 400,000 ni zaidi ya 100,000

Hapa pana shida

Tozo ni wizi hakuna jina lingine..

Na anayekata Tozo ni...
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
View attachment 2329518

Huu ndo upumbavu wa wengi wanaopost threads humuJF. Hawaji na concrete facts. Hebu tuambie ni kwa namna gani Serikali inakuibia wewe/au wananchi kwa njia ya tozo? Kwanini uandike blah blah mwanzo hadi mwisho wa thread? Weka facts, watu wasome waelimike then wachukue hatua.
 
Unaweza kuniambia Serikali inapata wapi uhalali wa kuchukua pesa ya mtu kwa kisingizio cha kwamba inekubalika na bunge ?

Kulifanywa referendum ya watu kukubali ujinga huu.

Kuna kodi zinalipwa , tozo ya nini ?
 
Hapo kwanza nnchekee.
Jana nimetoa tsh.30,000 kwenye NMB account yangu kucheki balance nimekwata tsh 6000 nikilinganisha na Salio nililoacha.
Kwa sasa siwezi peleka fedha zangu bank, acha nianzishe home bank aka kibubu.
 
View attachment 2329518
Tozo ni wizi, hakuna jina lingine zuri unaweza kulipamba.

Mbaya zaidi tozo hizi zinatozwa na serikali dhidi ya watu wake masikini.
Bunge lolote halali lisingeweza kuhalalisha wizi huu wa mchana kweupe dhidi ya raia wake.

Kila 100,000 utakayotoa benk na kumtumia mzazi wao itakuwa na makato yafuatayo:

Kiasi unatoa bank 100,000
Bank charges 2500
18% Vat ya charges 450
Tozo ya wizi 1016
Kutuma pesa Airtel ada 1440 toka Tigo
Tozo ya wizi. 1009
Kutoa 100,000 makato na. Tozo 4690

Jumla yamakato halali na Tozo 11,105 … kwa mwezi makato na a tozo yanaweza kuzidi 100,00

Je, tunaweza jenga uchumi kwa stahili hii . Hapo bado mshahara wa mtu huu ulikatwa kodi ya 9%.

Makato tu kwa mwezi kwa mwalimu wa mshahara wa 400,000 ni zaidi ya 100,000

Hapa pana shida

Tozo ni wizi hakuna jina lingine..

Na anayekata Tozo ni...
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
Mwigulu anasema Kwa nyodo kabisa kuwa anayeona tozo ni kubwa ahamie Burundi huko!!!
 
Huu ndo upumbavu wa wengi wanaopost threads humuJF. Hawaji na concrete facts. Hebu tuambie ni kwa namna gani Serikali inakuibia wewe/au wananchi kwa njia ya tozo? Kwanini uandike blah blah mwanzo hadi mwisho wa thread? Weka facts, watu wasome waelimike then wachukue hatua.
Very likely huko shuleni ulienda kusomea ujinga
 
Huu ndo upumbavu wa wengi wanaopost threads humuJF. Hawaji na concrete facts. Hebu tuambie ni kwa namna gani Serikali inakuibia wewe/au wananchi kwa njia ya tozo? Kwanini uandike blah blah mwanzo hadi mwisho wa thread? Weka facts, watu wasome waelimike then wachukue hatua.
Andika wewe hizo facts
 
View attachment 2329518
Tozo ni wizi, hakuna jina lingine zuri unaweza kulipamba.

Mbaya zaidi tozo hizi zinatozwa na serikali dhidi ya watu wake masikini.
Bunge lolote halali lisingeweza kuhalalisha wizi huu wa mchana kweupe dhidi ya raia wake.

Kila 100,000 utakayotoa benk na kumtumia mzazi wao itakuwa na makato yafuatayo:

Kiasi unatoa bank 100,000
Bank charges 2500
18% Vat ya charges 450
Tozo ya wizi 1016
Kutuma pesa Airtel ada 1440 toka Tigo
Tozo ya wizi. 1009
Kutoa 100,000 makato na. Tozo 4690

Jumla yamakato halali na Tozo 11,105 … kwa mwezi makato na a tozo yanaweza kuzidi 100,00

Je, tunaweza jenga uchumi kwa stahili hii . Hapo bado mshahara wa mtu huu ulikatwa kodi ya 9%.

Makato tu kwa mwezi kwa mwalimu wa mshahara wa 400,000 ni zaidi ya 100,000

Hapa pana shida

Tozo ni wizi hakuna jina lingine..

Na anayekata Tozo ni...
Serikali ilitakiwa kuweka tozo kwa kiwango cha kuanzia milioni 6 kuja juu
 
Back
Top Bottom