Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Hatimaye Generation ya 6 ya Rav 4 imezinduliwa leo tar 21 May huko Japan, na imejumlisha re-design ya kuanzia muonekano wa nje na ndani, hadi performance.
Kuendana na kasi ya ukuaji wa magari ya umeme, generation hii ya Rav 4 itakuja kwa options mbili tu, either full EV (BEV) au Hybrid (PHEV) tu, hakutakua na full ICE.
Hybrids zitakuja na engine ya 2.5L pamoja na battery la 1.6 kWh, transmission ya eCVT na zinatoa 220 hp hadi 320 hp.
Taarifa zaidi za full BEV hazijatolewa, ila hybrid inaweza kwenda hadi 150 km kwa EV mode tu, na inaweza kuchajiwa kutoka 0-80% kwa dakika 30 tu.
Pia Toyota wameongelea kuhusu V2H (Vehicle to Home) power supply ambapo ikitokea umeme umekatika unaweza kutumia gari supply umeme.
Hii ni generation ya 6 kutokea Rav 4 zilivyoanza kuuzwa mwaka 1994, na imekua moja ya best selling SUV duniani.
Kuhusu packages zitakuepo za aina tatu, Base model (Core), Adventure na Sports (GR Sport) package.
BTW, kirefu cha RAV 4 ni Robust Accurate Vehicle with 4 Wheel Drive.
Life is an Adventure