Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Kwa hizo gari mbali katika ulaji wake wa mafuta wala usiangalie cc kwani tofauti ya ulaji wake wa mafuta ni kidogo sana go for corolla wala hautajuta, i spoke from my experience kwani nishazitumia hizo gari zote mbili na nishazisafiria mikoani
Habari za leo wanajukwaa letu pendwa!! kama heading inavyoonesha hapo juu kuhusu hayo magari tajwa. katika pita pita zangu za kusaka japo kausafiri ka kunitoa huku Chanika kwetu hadi Mikocheni, zimekuja offer mbili hadi sasa zenye bei sawa kwa hizo gari tajwa hapo juu.
zote zinaenda kwa 5.5M.
Sasa kilichonileta hapa jukwaani ni kuwa nimeshindwa kufanya maamuzi kuwa nichukue ipi kati ya hizo gari mbili, yaani hapo kigezo kikubwa ni fuel economy reasonability of the price for each na durability kati ya haya magari mawili with reference to the distance I cover daily from Chanika, Mikocheni Chanika.
Naombeni michango ya dhati jamani juu ya haya magari mawili. Natanguliza shukurani za dhati kabisa.
Ahsante sana kiongozi kwa mchango wako mwanana. nitafanya hivyoKwa hizo gari mbali katika ulaji wake wa mafuta wala usiangalie cc kwani tofauti ya ulaji wake wa mafuta ni kidogo sana go for corolla wala hautajuta, i spoke from my experience kwani nishazitumia hizo gari zote mbili na nishazisafiria mikoani
Mkuu hebu tupe ufafanuzi zaidi maana Nina Mercedes Benz kubwa la SUV body type ni shida kwenye mafuta hizo corolla comfortability yake ikoje mkuu?
Ahsante kwa elimu unayotupa hapa jukwaani.
Comfort ability yake iko vizuri sana, spare zipo nyingi na bei nafuu na inaweza kuhimili mikiki ndio maana nyingi huwa wanazifanya taxi na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana na unaweza ukasafiria safari ndefu kama unaenda Arusha full tank la lita arobaini unaweza ukaenda kuongezea Same tena kidogo tu
Comfort ability yake iko vizuri sana, spare zipo nyingi na bei nafuu na inaweza kuhimili mikiki ndio maana nyingi huwa wanazifanya taxi na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana na unaweza ukasafiria safari ndefu kama unaenda Arusha full tank la lita arobaini unaweza ukaenda kuongezea Same tena kidogo tu, mimi mwenyewe nina Chevrolet SUV lilinishinda kutokana na kubwia mafuta ukabidi ninunue hivi vigari vidogo nilianza na vitz baadae nikanunua corolla 110 baada ya kuona vitz haiko comfortable sana na huwa naenjoy sana kwa safari za Tanga kwani full tank naenda na kurudi
Nakubali mkuu, Corolla 110 ni chaguo sahihi, ni gari imara, nimeshafanya nayo safari za Ar - Ir, Ar - Dar, Ar - Kericho na hakuna hata siku ilinisumbua njiani, ulaji wa mafuta ni mzuri, kwa uzoefu wangu, mafuta full tank (approximate 47) yalikuwa yamatosha kutoka Ir mpaka Dar na yanabaki, ukiweka full kutoka Arusha utaongeza Chalinze au Mlandizi, kwa ufupi ni gari nzuri na imara,
Ni habari za uzushi, labda gari yake ilikuwa kimeo. ukipata iliyotulia kwa kweli hutajuta, mi nimeitumia kwa miaka 3, nimewapa wazee wanaitumia kijijini na wala haijasumubua mpaka dak hii, yaani ni kubadili oil, filter, tyres etc lakini injini na gear box hazijasumbua, Corolla na Carina It ni gari imara, zinatumia mafuta vizuri na ni chaguo sahihi kwa watu wa kipato cha kawaida na ndo maana zinatumika sana kama taxiMkuu kuna MTU alinitisha eti zinakufa Sana gearbox hizo gari
Mkuu kuna MTU alinitisha eti zinakufa Sana gearbox hizo gari
Kama service haifanyiwi kwanini isife? Na zipo nyingi Karume zinauzwa bei rahisi sana
Mkuu hebu tupe ufafanuzi zaidi maana Nina Mercedes Benz kubwa la SUV body type ni shida kwenye mafuta hizo corolla comfortability yake ikoje mkuu?
Ahsante kwa elimu unayotupa hapa jukwaani.
Comfort ability yake iko vizuri sana, spare zipo nyingi na bei nafuu na inaweza kuhimili mikiki ndio maana nyingi huwa wanazifanya taxi na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana na unaweza ukasafiria safari ndefu kama unaenda Arusha full tank la lita arobaini unaweza ukaenda kuongezea Same tena kidogo tu, mimi mwenyewe nina Chevrolet SUV lilinishinda kutokana na kubwia mafuta ukabidi ninunue hivi vigari vidogo nilianza na vitz baadae nikanunua corolla 110 baada ya kuona vitz haiko comfortable sana na huwa naenjoy sana kwa safari za Tanga kwani full tank naenda na kurudi
Kumbe ule Mbenz nao uona umepaki pale lumumba ni wa kwako?Mkuu hebu tupe ufafanuzi zaidi maana Nina Mercedes Benz kubwa la SUV body type ni shida kwenye mafuta hizo corolla comfortability yake ikoje mkuu?
Ahsante kwa elimu unayotupa hapa jukwaani.
mkuu kutoka Mercedes benz mpaka corrola inataka moyo.
Kumbe ule Mbenz nao uona umepaki pale lumumba ni wa kwako?