mkalenda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 290
- 23
kula2mWakuu kuna toyota vitz inauzwa kwa sh. Milion 3. Inaitaji marekebisho bt gar inatembea na iko poa. Ni ya mwaka 2000 , cc990, km 76000, my no 0769038065
ila mbona haujasema tatizo iliyonayo?Wakuu kuna toyota vitz inauzwa kwa sh. Milion 3. Inaitaji marekebisho bt gar inatembea na iko poa. Ni ya mwaka 2000 , cc990, km 76000, my no 0769038065
Rejeta inachemsha na shokap tu!! Hivyo ndo vitu inavyo dai
Jaman hy ni biashar utan pemben lets be serious
Hii ndiyo JF bwana!Hili gari mara ya kwanza ulipost unauza mil 4.7,kwnye mtandao wa kupatana.com linauzwa mil 5,leo post mpya mil 3 hili litakuwa na matatizo mengi ingawa hutaki kusema.