Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
Natamani japo pesa sina
Hili gari mara ya kwanza ulipost unauza mil 4.7,kwnye mtandao wa kupatana.com linauzwa mil 5,leo post mpya mil 3 hili litakuwa na matatizo mengi ingawa hutaki kusema.
Sijawah tangaza hili gar kwa sh. 5m. Hilo la kwanza!, pili matatizo ya hili gar nisha sema kama unahela njoo na fund wako akague kama atakuta matatizo tofaut na hayo niliyo sema, nimepunguza bei kutokana na uitaj wa fedha haraka! 4.7 milion watu waliokuja kucheki wenhi wao ni madalali mnunuz hakuna; nadhan nimeeleweka
Hili gari mara ya kwanza ulipost unauza mil 4.7,kwnye mtandao wa kupatana.com linauzwa mil 5,leo post mpya mil 3 hili litakuwa na matatizo mengi ingawa hutaki kusema.
Hili gari mara ya kwanza ulipost unauza mil 4.7,kwnye mtandao wa kupatana.com linauzwa mil 5,leo post mpya mil 3 hili litakuwa na matatizo mengi ingawa hutaki kusema.
Hahahah,Frank at biznesss.kula2m
Hii ndiyo JF bwana!

Kweli nimekubali JF noma,yaani ukiingia uwe makini.Usishangai watu wakakupa hadi jina la mmiliki.
Hahaha.
Ki mtizamo wangu na kwa malezo ya Oldonyo hapo juu kutoka 4.5m hadi 3m ni kwamba nahisi Gari hiyo ime noki Engine kabisaa.
Sasa ukuziwa at 3m ujue umenunua mpya
Toyota vitz in very good condition for only 4.7 m
Mr. President 22:22 13th September 2014
Chukua 3,000,000 tshs, kama uko serious, kesho nikupe pesa jpili yako iende safi...kuna mtu
namchukulia kwa kuendea chuo...not more than tht...if ur ready tufanye biashara...
Mr. President 23:26 14th September 2014
By mkalenda :
thnx mkuu bei ya mwisho ni 4.5.. Atakae chukua hili gar atafurah saaana iko poa
==> Hapana...kama ungekubali 3M...niko tayari..ila ukichelewa kuna nyingine ya silver nachukua next week hadi tar 20 kwani ipo Kino..ila mwenyewe kasafiri kidogo...so tht is Maximum i can...!!
umeonaeeHahahah,Frank at biznesss.
Nilitaka kushangaa mzee usiinge.