CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
Nilikuwa najiuliza hili swali asee any way nililona kupatana, hii vits Inaonekana ilipigwa mzinga shavu la kushoto mbele
mjini kuguswa shavu kawaida, ndiyo maana ameirekebisha na kuipaint upya yote! 3m ni reasonable tu kama huko "kuchemsha" tatizo ni radiator pekee (?)