HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
bei kaweka acheni kukwepa kama hamfikii dau si mseme apunguze ni 8.5MLsi hajaweka beiii,nimemsaidia kuweka sasaaaa,mtu anaweka tangazo bila kukamilika anauzi sanaaa
bei kaweka acheni kukwepa kama hamfikii dau si mseme apunguze ni 8.5MLsi hajaweka beiii,nimemsaidia kuweka sasaaaa,mtu anaweka tangazo bila kukamilika anauzi sanaaa
Kasome hyo post ni ya liniiii,acha upunguani weweeMbona bei kaweka nyie watu wa namna gani!! Jina zuri ila kichwani empty mind
Hahaaaaa,hebu muulize mwenyewe hyo bei aliwekaaaa?bei kaweka acheni kukwepa kama hamfikii dau si mseme apunguze ni 8.5ML
Watu ni wavivu kusoma aise..Haujui kusoma nini mkuu mbona bei ipo hapo