Toyota Surf T116 Inapeleka Wapi Vitofali vya BRT?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,153
13,223
Juzi Ijumaa tarehe 6 Juni majira ya saa 12 jioni nikiwa eneo fulaniManzese darajani nilishuhudia tujio ambalo bado nalitafakari sana kuona kwa macho yangu gari aina ua Toyota surf rangi ya kijivu ikipakia pavements block zinazotumika kujenga viambato vya barabara ya magari yaendayo kasi "BRT" na kupeleka kusikojulikana

ajabu mafundi wengine walikua wakiendelea na ujenzi na hata mojawapo ya malori makubwa lilipita na jamaa akiendelea kupakia bila wasiwasi kabisa. Kesho yake Jumamosi nilipofika lile lundo la tofali lilikua limekwisha ilihali hakuna ongezeko la eneo la ujenzi (muendelezo) na ile toyota ilikuwepo kana kwamba inasubiri vitofa vingine viletwe

nilipododosa zaidi nikaambiwa hata ule mchanga wa kujengea ambao huwa umechanganywa kabisa na saruji nao huibwa sana tu

wahusika pokeeni taarifa hii maana siamini kama ilikua ni kwa nia njema ilihali mradi una pick uos nyingi tu na kwa nini jioni ile na mwenye gari ni nani hasa,

nilikua angle ambayo nilitumia simu kupiga picha ambazo hazijatoka vizuri lakn ukiziona unaweza kuoanisha na story yangu, aidha mnaoyumia barabara hiyo endleeni kufatilia
 
Wezi watakuwa ni hao hao wahandisi wanaosimamia.
Ungeweka hata namba ya gari lake hapa.
 
hata vitofali vya pavement vilivyochimbuliwa na magreda pale Mwenge stand,mateja wanavibeba na kuwauzia wananchi wa jirani na stand ile. Ukipita usiku utawakuta wapo kwenye harakati maeneo yale.
 
nchi ya ki2 kidogo ndo bas tena wameshaiba hao watu h ndo tz kazi yetu kuzuia ambavyo tayari vimeshatokea na watu wamevishtukia
 
namba ya gari ina utata "T 116" :der: inamaana ni US Embassy Tz car, sio rahisi maana zinausimamizi mkubwa sana.
 
Juzi Ijumaa tarehe 6 Juni majira ya saa 12 jioni nikiwa eneo fulaniManzese darajani nilishuhudia tujio ambalo bado nalitafakari sana kuona kwa macho yangu gari aina ua Toyota surf rangi ya kijivu ikipakia pavements block zinazotumika kujenga viambato vya barabara ya magari yaendayo kasi "BRT" na kupeleka kusikojulikana

ajabu mafundi wengine walikua wakiendelea na ujenzi na hata mojawapo ya malori makubwa lilipita na jamaa akiendelea kupakia bila wasiwasi kabisa. Kesho yake Jumamosi nilipofika lile lundo la tofali lilikua limekwisha ilihali hakuna ongezeko la eneo la ujenzi (muendelezo) na ile toyota ilikuwepo kana kwamba inasubiri vitofa vingine viletwe

nilipododosa zaidi nikaambiwa hata ule mchanga wa kujengea ambao huwa umechanganywa kabisa na saruji nao huibwa sana tu

wahusika pokeeni taarifa hii maana siamini kama ilikua ni kwa nia njema ilihali mradi una pick uos nyingi tu na kwa nini jioni ile na mwenye gari ni nani hasa,

nilikua angle ambayo nilitumia simu kupiga picha ambazo hazijatoka vizuri lakn ukiziona unaweza kuoanisha na story yangu, aidha mnaoyumia barabara hiyo endleeni kufatilia

Picha basi, huu ndio ulinzi shirikishi!
 
Posho kwa mbinde kW nn wasile vyao vnavyowahusu...kilambuzi hula. Kutokana na urefu wa kamba yake.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu ebu verify hiyo namba maana ina utata inaonekana matofali yameelekea kule Msasani, State within a State meant US Embassy Dar.
 
Ushahidi haujitoshelezi na mleta mada unaweza kushitakiwa kwa uzushi na ukahukumiwa kwenda jela. Namba ya gari haijakamilika na picha ya gari ikiwa na mzigo inahitajika, na ilikoupeleka na kuushusha pafahamike pia. Uwenda wanaonoa material zisizofaa kwa ujenzi au ziko chini ya kiwango.
 
Wezi watakuwa ni hao hao wahandisi wanaosimamia.
Ungeweka hata namba ya gari lake hapa.

Sema wajenzi vinginevo unakuwa hujawatendea haki wahandisi maana ni sawa na mitihani ikiibiwa useme ni maafisa Elimu wakati kuna wahusika wengi katika chain hiyo
 
Wanauza sana materials na ndiyo maana kama mtaangalia kwa makini, kiwango cha uboro ni ziro kabisa. Cement, mchanga, pavements wanaiba sana. Ila wajifunze kuwa kuwanyonya wafanyakazi kimapato matokeo yake ndiyo hayo.
 
Back
Top Bottom