Toyota Surf T116 Inapeleka Wapi Vitofali vya BRT?

Toyota Surf T116 Inapeleka Wapi Vitofali vya BRT?

hata vitofali vya pavement vilivyochimbuliwa na magreda pale Mwenge stand,mateja wanavibeba na kuwauzia wananchi wa jirani na stand ile. Ukipita usiku utawakuta wapo kwenye harakati maeneo yale.

Mi nafikiri hapa hakuna kosa ni kama wale wanaopita barabarani wakiokota chupa za maji za plastiki kwa nia ya kuuza, yule alotupa hawezi sema kwa nini mwachukua bila idhini yangu, wale waliochimba na magreda sijui kama walikuwa na mpango navyo?
 
mi nafikiri hapa hakuna kosa ni kama wale wanaopita barabarani wakiokota chupa za maji za plastiki kwa nia ya kuuza, yule alotupa hawezi sema kwa nini mwachukua bila idhini yangu, wale waliochimba na magreda sijui kama walikuwa na mpango navyo?

kosa ni la huyu anayechukua kabla havijajengewa
 
wafanyakazi watakapogoma watasemaaaa...subiri

Pia raia wema watatuambia majirani zao wanaoweka vitofali hivyo...sampuli inaweza kwenda kupimwa na kujulikana
 
wafanyakazi watakapogoma watasemaaaa...subiri

Pia raia wema watatuambia majirani zao wanaoweka vitofali hivyo...sampuli inaweza kwenda kupimwa na kujulikana

nakuunga mkono na mguu
 
Mdau safari nambari za kibalozi zinaanza na CD 116 na siyo T!

Hapana ni T116CD....

IMG_2230.jpg
 
Back
Top Bottom