Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
Juzi Ijumaa tarehe 6 Juni majira ya saa 12 jioni nikiwa eneo fulaniManzese darajani nilishuhudia tujio ambalo bado nalitafakari sana kuona kwa macho yangu gari aina ua Toyota surf rangi ya kijivu ikipakia pavements block zinazotumika kujenga viambato vya barabara ya magari yaendayo kasi "BRT" na kupeleka kusikojulikana
ajabu mafundi wengine walikua wakiendelea na ujenzi na hata mojawapo ya malori makubwa lilipita na jamaa akiendelea kupakia bila wasiwasi kabisa. Kesho yake Jumamosi nilipofika lile lundo la tofali lilikua limekwisha ilihali hakuna ongezeko la eneo la ujenzi (muendelezo) na ile toyota ilikuwepo kana kwamba inasubiri vitofa vingine viletwe
nilipododosa zaidi nikaambiwa hata ule mchanga wa kujengea ambao huwa umechanganywa kabisa na saruji nao huibwa sana tu
wahusika pokeeni taarifa hii maana siamini kama ilikua ni kwa nia njema ilihali mradi una pick uos nyingi tu na kwa nini jioni ile na mwenye gari ni nani hasa,
nilikua angle ambayo nilitumia simu kupiga picha ambazo hazijatoka vizuri lakn ukiziona unaweza kuoanisha na story yangu, aidha mnaoyumia barabara hiyo endleeni kufatilia