Toyota surf 6 million

Toyota surf 6 million

mama kokuu

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
131
Reaction score
22
toyota surf
2l diesel engine type
manual gear 4wd
dar to chalinze lt 7
dar to arusha lt 45
vibali vyote inavyo haidaiwi
inauzwa millioni 6

kwa mawasiliano piga namba
0714198500
0712419419​
 

Attachments

  • DSCN2279.JPG
    DSCN2279.JPG
    476.9 KB · Views: 213
  • DSCN2286.JPG
    DSCN2286.JPG
    493.1 KB · Views: 166
  • DSCN2287.JPG
    DSCN2287.JPG
    401.7 KB · Views: 154
  • DSCN2289.JPG
    DSCN2289.JPG
    478.2 KB · Views: 157
toyota surf
2l diesel engine type
manual gear 4wd
dar to chalinze lt 7
dar to arusha lt 45
vibali vyote inavyo haidaiwi
inauzwa millioni 6

kwa mawasiliano piga namba
0714198500
0712419419​
napata mashaka sana kwenye hizo red,acha uongo wewe mama wa kihaya!weka details nyingine kama cc,mwaka,kms...
 
Weka cc ngapi, mwaka wa kutengeneza, kilometer ilizotembea, ina accident au haina, haya ndio muhimu..
 
haina accident na kutumia mafuta lita 45 mpaka arusha nina uhakika kwa kuwa nimeshasafiria mimi na kwenda chalinze na kurudi ni lita 15 kwa kuwa ninamradi wa kuku wa kienyeji huwa nawafata chalinze kila j5 pale sokoni
 
napata mashaka sana kwenye hizo red,acha uongo wewe mama wa kihaya!weka details nyingine kama cc,mwaka,kms...

tehe tehe tehe tehe tehe tehe
naendelea kucheka.
kwi kwi kwi kwi kwi kwi
ntaendelea tena baadae
 
Honestly, hii gari iko so fuel economical consumption, naijua
 
toyota surf
2l diesel engine type
manual gear 4wd
dar to chalinze lt 7
dar to arusha lt 45
vibali vyote inavyo haidaiwi
inauzwa millioni 6

kwa mawasiliano piga namba
0714198500
0712419419​

mmeiwekea engine ya BODABODA nini??
 
Kuna mtu aliwahi kufanya mawasiliano kwa hizo namba hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom