Toyota RAV4 5-Dr 2.2 D-CAT SR 5door

Toyota RAV4 5-Dr 2.2 D-CAT SR 5door

sijui labda check show room, wanazo hizo ila nadhani zaid ya 16m
 
iko wapi tuongee ? kama iko dar nipe gharama zako ntakuwekea faida kdg uniuzie
 
iko wapi tuongee ? kama iko dar nipe gharama zako ntakuwekea faida kdg uniuzie

Ha! ha! ha!!!!!!!!!! faida kidogo? any way nilikuwa nataka niitume lakini kabla sijafanya uamuzi nilitaka nijue bei yake kwa Tanzania!. Kama nikiituma wewe utanipa bei gani?
 
Mi ntakupa milioni sita na nusu mkuu. Vipi deal?
 
Back
Top Bottom