Toyota Ractis VS Toyota Ist

neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,845
2,128
Salaam wapendwa.
Tafadhali naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu.. JF Garage, ni gari ipi bora kwa mazingira ya hapa Tanzania hususan barabara kati ya ist na ractis. Jibu lako liwe na sababu. Natanguliza shukrani
 
Sina sababu ya kitaalamu.

Kati ya hayo mawili ningechukua Ractis.

Sio common sana halafu limekaa kichekibob zaidi.
 
ist ndio inakufaa mkuu kutokana na hoja yako. ya mazingira na barabara za tanzania.

lkn kwa usasa ractise ni bora zaidi ya ist coz ni ya kisasa na technologia mpya zaidi ya iliyopo kwenye ist
 
Back
Top Bottom