Toyota premio ya 2014

Hahahaha za 2014 izo

Ndio izo izo ni mjuaji nikikwambia mjuaji sijui kaka una nielewa mda wote ana isifia gari yake ni kali sana ni kama macdz tz hazipo nyingi ajabu mpak leo iyo gari hajui kuiendesha mpaka ina chakaa EQS lkn ukiona now hatari
 
Soma hii makala, kama dakika 10 tu itakua umejua kuhusu Premio sana sana engine size (izo cc), generation (hii ya muhimu saaana, ujue gen 1 lini na ikaisha lini, na gen 2 ivo ivo), nyie mnaita old model na new model,,,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…