Toyota Prado inauzwa, ipo Dodoma mjini

Toyota Prado inauzwa, ipo Dodoma mjini

Chuma bado inapatikana, karibuni sana
 
Wakuu, chuma bado ipo sokoni. Karibuni sana
 
Da hii prado ndio chanzo cha haya magari kuitwa shangingi yalikua maarufu sana miaka iyo. Ila yanashida ya stability kama NISSAN EXTRAIL
Shida ya Stability kivipi mkuu...?
 
Mkuu, ingawa sio mjuzi sana wa magari.... lakini naomba niseme kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya Nissan na Toyota. Na usirudie kufananisha Toyota na Nissan hata siku moja tafadhali
Da hii prado ndio chanzo cha haya magari kuitwa shangingi yalikua maarufu sana miaka iyo. Ila yanashida ya stability kama NISSAN EXTRAIL
 
Naunga mkono hoja mkuu, karibu sana uchukue kitu hii bado kali kabisa mkuu

Ahsante kamanda wangu, gari imetulia sana, alafu nimeshangaa hata bei yake ni cheap sana...wenye pesa washindwe tu kuinunua kamanda...
 
CAR FOR SALE

MAKE ; Toyota

MODEL ; Prado

COLOUR ; Silver

Cc ; 2690

YEAR ; 1999

NUMBER ; C

ENGINE ; 3RZ

PISTON ; Four

IMPORTED YEAR ; 2013

MODE OF TRANSMISSION ; automatic

FUEL USE ; Petrol

PRICE ; 9,800,000/=

NB : THE CAR IS AVAILABLE FOR IMMEDIATE SALE -Gari iko Dodoma
-Gari haina tatizo lolote njoo na fundi wako akague.

Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap 0758383624 ili nikuunganishe na mmiliki gari.

View attachment 1080544View attachment 1080545View attachment 1080546View attachment 1080550View attachment 1080551View attachment 1080552View attachment 1080554View attachment 1080555
Lete huku utangaze bure https://chat.whatsapp.com/GXkWJbupCpk0XFkUw5nI9k
 
Nitakutafuta kwa kujifanya nataka kununua gari ili tu nijue mwenye ID ya Ushimen ni nana. C u...
CAR FOR SALE

MAKE ; Toyota

MODEL ; Prado

COLOUR ; Silver

Cc ; 2690

YEAR ; 1999

NUMBER ; C

ENGINE ; 3RZ

PISTON ; Four

IMPORTED YEAR ; 2013

MODE OF TRANSMISSION ; automatic

FUEL USE ; Petrol

PRICE ; 9,800,000/=

NB : THE CAR IS AVAILABLE FOR IMMEDIATE SALE -Gari iko Dodoma
-Gari haina tatizo lolote njoo na fundi wako akague.

Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap 0758383624 ili nikuunganishe na mmiliki gari.

View attachment 1080544View attachment 1080545View attachment 1080546View attachment 1080550View attachment 1080551View attachment 1080552View attachment 1080554View attachment 1080555
 
Mkuu, uspate tabu sana...
Weangalia angalia namba za simu hapo mwisho wa tangazo, na kisha utaweza kunijua kirahisi.
Binafsi sioni sababu ya kujificha wakati tayari nimesha ingia kwenye ulimwengu wa biashara...[emoji4][emoji4][emoji4]
Nitakutafuta kwa kujifanya nataka kununua gari ili tu nijue mwenye ID ya Ushimen ni nana. C u...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom