Toyota Passo kwa wanaojua zaidi

ChaterMaster

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
1,622
791
Wakuu nmecheki bei za toyota passo kwenye mtandao naona ni nzuri tu yan gar cc 998 na 1000 unapata kwa bei poa FOB 849-1200
sasa ushauri wenu unahitajika maana nilitaka kuchukua IST ila nimegairi maana bei yake ni sawa na kujenga nyumba kabsa
Je hz gari passo zna shida gan maan m naona kwanza zina nafasi na cc ndogo kuliko hata IST
PLZ ushauri unahitajka....
 
Hiyo kitu iko makini sana kaka. Ndani ina nafasi yakutosha,kina valve tatu tu. Chaguo lako ni sahihi na tena kwa wakati Mwafaka.
 
Hiyo spare parts zake wapemba hawajaanza kukata kamata IST
 
Me hadi kuja kununua gari naona itakua ni TOYOTA-MAGUFULI ishatoka

utanunua tu mkuu,wala hakuna aliyezaliwa na mwanadamu akijua tokea tumboni kwa mama yake kuwa atamiliki nini,MUNGU yupo kaka ni kumuomba yeye tu akupe wepesi huku ukifanya kazi halali kwa bidii
 
utanunua tu mkuu,wala hakuna aliyezaliwa na mwanadamu akijua tokea tumboni kwa mama yake kuwa atamiliki nini,MUNGU yupo kaka ni kumuomba yeye tu akupe wepesi huku ukifanya kazi halali kwa bidii

thanx sana mkuu,sitanunua kwa ela ya ngada wala kinener
 
thanx sana mkuu,sitanunua kwa ela ya ngada wala kinener

yap mkuu,hata bila kuuza ngada maisha yapo tena ya maana tu,sema mapusha wanawakatisha tamaa vijana wachapakazi then wanawapeleka kubaya hata kuishia nyuma ya nondo huku wao wakila bata
 
sijui magari mkuu. Famila yetu ni mjomba alishawahi kununua land rover 109 na sasa amefulia. Ila labda mm Mungu akisaidia iko cku ntamiliki
 
Tatizo kipo chini sana kwa rough road hakiwezi pia ni kizuri kwa ulaji wa mafuta
 
Wakuu nmecheki bei za toyota passo kwenye mtandao naona ni nzuri tu yan gar cc 998 na 1000 unapata kwa bei poa FOB 849-1200
sasa ushauri wenu unahitajika maana nilitaka kuchukua IST ila nimegairi maana bei yake ni sawa na kujenga nyumba kabsa
Je hz gari passo zna shida gan maan m naona kwanza zina nafasi na cc ndogo kuliko hata IST
PLZ ushauri unahitajka....

hii kitu nimeipenda nampango nimchukulie wife hii mashine anaatabika sana kwenda job
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom