fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,626
Mimi ndio nilinunua hiyo gari, ipo vizuri sana sana huwezi amini. Ila nilimnunulia dogo

Mimi ndio nilinunua hiyo gari, ipo vizuri sana sana huwezi amini. Ila nilimnunulia dogo

Dahhhh....
Na kwenye wallet nimeona tango..
Kukosa hela ni jambo baya sana wallah...View attachment 1612457
jamaa kanisaidia kuzoom apo. sema nilisha acha chaputa
lengo hasa lilikuwa ni hilo Tango, kuwa wanaume lazima tuitwe vibamia, km mtu anatumia TangoMimi niliona tango