Toyota noah-gari ya zamani lakini bora kuliko za karibuni,

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,134
Wakati mwingine maboresho yanaweza kugoma,ndio kwa gari hizi,noah old model ni nzuri kushinda matoleo ya karibuni(voxy),hizi gari hazichuji na sokoni ziko hot sana ni gari imara na himilivu kwa mazingira ya kiafrika, spea zipo kila kona, kuna road tourer, exurb, extra lymo nk, zinabeba abiria saba bila shida,zipo za 2wd na 4wd,acha noah isiwe na mpinzani, ingawa Alphard anamfatia noah kwa mbali sana.

IMG_20220309_175056.jpg
IMG_20220309_174914.jpg
 
Wakati mwingine maboresho yanaweza kugoma,ndio kwa gari hizi,noah old model ni nzuri kushinda matoleo ya karibuni(voxy),hizi gari hazichuji na sokoni ziko hot sana,ni gari imara na himilivu kwa mazingira ya kiafrika,spea zipo kila kona,kuna road tourer,exurb,extra lymo nk,zinabeba abiria saba bila shida,zipo za 2wd na 4wd,acha noah isiwe na mpinzani,ingawa Alphard anamfatia noah kwa mbali sana...View attachment 2144682View attachment 2144683

Hilo toleo wameliita tu Noah lakini limetengenezwa kutokea kwenye Toyota Liteace...

Ukitafuta mtandaoni toyota Noah kama Toyota Noah utaletewa New model na siyo hiyo hiyo Old model. Old model wameiweka kwenye kundi la Liteace.

Sasa ukija kufatilia utakuja kuona hizo Liteace zinatengenezwa mpaka leo walivyotoka kwenye hiyo R series ambayo ndio kuna hao akina Noah Old model wakahamia kwenye S series.

Screenshot_2022-03-09-18-49-54-431_com.android.chrome.jpg




Screenshot_2022-03-09-18-31-58-156_com.android.chrome.jpg



Sasa ukitaka Toleo Gumu la hiyo gari tafuta Litrmeace S series...

Kwa upande mwingine hizo Townace na Liteace R40 na R50 waliamua kuzifanyia redesign ndio ikaja toyota noah kama toyota Noah ambayo ina matoleo manne R60 mpaka R90

Screenshot_2022-03-09-18-55-01-841_com.android.chrome.jpg
 
Noah voxy inaniboaga hilo bampa lake la mbele kugusa gusa chini

Kwa familia noah old model inafaa sana,alphard silipendi kimwonekano limekavaa vibaya kama likiatu la mtumba lenye namba kubwa

Ila hii alphard ukiitengeneza kama ofisi au kagheto kakulia pisi kali inafaa sana
 
Back
Top Bottom