namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
Umenena vyema Jerhy
Mkuu mshana jr,hivi hizi spacio new model ya mwaka 2003 bei yake ikoje sokoni? Hata kama kwa kumvua mtu
Last edited by a moderator:
Umenena vyema Jerhy
Mkuu mshana jr,hivi hizi spacio new model ya mwaka 2003 bei yake ikoje sokoni? Hata kama kwa kumvua mtu
wewe mshana unaonekana welewa wako ni mdogo sana, mtu akicoment kitu ww kazi ako ni kuitikia tu, sina hakika hata na jinsia yako kiukweli mana unayo yafanya na pic ya profile ni tofauti simama kwenye msimamo wako bro hata kama umepost ujinga ushikirie huohuo
Hebu tumia ile ID yako halisi usijifiche kwenye hili chaka la ID mpya
Ana hasira na descriptions zako kwa bidhaa yake teh teh teh
nadia ni janga jamani tuambiane tu ukweli ila ikipata mtunzaji haina shida kivile
afadhali umewaambia ukweli
halafu sina nia ya kuharibu soko la mtu bali kusaidia pande zote mbili ili baadae pasiwepo na kulaumiana
nadia ni vimeo balaaah!!!!
Samahani kama naharibu biashara ila natumia uhuru wa jukwaa...
likuaga nayo ukiendesha kwa muda inaishiwa nguvu mpaka u restart engine kama laptop yenye ram ya 1kb.
siko kwenye intrest nazungumzia weredi wa mtu, embu preview coment zte za huyo mshana jr uone. hajaongea jambo la maana hata moja. kwani jf inalazmisha watu kucoment utumbo? if you got no point..kaa pembeni wenye point watoe.....huo ni ukike!