Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Likuaga nayo ukiendesha kwa muda inaishiwa nguvu mpaka u restart engine kama laptop yenye ram ya 1kb.
Aisee kumbe ni kimeo hivyo
Likuaga nayo ukiendesha kwa muda inaishiwa nguvu mpaka u restart engine kama laptop yenye ram ya 1kb.
Likuaga nayo ukiendesha kwa muda inaishiwa nguvu mpaka u restart engine kama laptop yenye ram ya 1kb.
Aisee kumbe ni kimeo hivyo
Halafu zina tabia ya kupiga chafya na kukata moto mpaka uipulizie dawa ya mbu ndio inapona
Ha ha ha ha kumbe ndo mana zinauzwaga bei cheee hivyo?
Mkuu vipi kuhusu corolla 111
Teh teh, umenikumbusha kitu, kuna jamaa pale kinondon alinunua gar kutoka ujeruman, kilichotokea likawa haliwaki na akitaka kuliwasha anapulizia dawa ya mbu ya rungu ndo gar inawaka, aisee!Halafu zina tabia ya kupiga chafya na kukata moto mpaka uipulizie dawa ya mbu ndio inapona
Teh teh, umenikumbusha kitu, kuna jamaa pale kinondon alinunua gar kutoka ujeruman, kilichotokea likawa haliwaki na akitaka kuliwasha anapulizia dawa ya mbu ya rungu ndo gar inawaka, aisee!
Huo ugonjwa unaitwa mafua ya gari na hiyo ndio tiba yake
hata bure sichukui hilo
Mmmmh ya kweli haya!? Sasa zinatengezwa kwa manufaa yapi!?
Huu ni ugonjwa wa kawaida kama magonjwa mengine tu kwenye gari
Kinachoshangaza ni hiyo tiba yake
Hii rungu inapulizwa wapi, boneti ya gari au kwenye clutch!?
Puani yani pale kwenye inlet ya aircleaner
hiyo bei ni cheap sana. Lazima hiyo gari itakua kimeo
Asante. Nimeelewa sasa,
Nakunywa banana wine niagize ngapi boss?
hiyo bei ni cheap sana. Lazima hiyo gari itakua kimeo
Mi nadhani mafundi wetu ndiyo janga, wanatakiwa wajiendeleze. Unajua kwa nini nasema hivyo, zingekuwa na tatizo la kutoka kiwandani tungeskia mass recall miaka hiyo, lakini wenzetu wanapigia mizigo bila shida, gari la 2003 mmbongo unaliagiza lishachabanga miaka kumi bado liko poa tu, ukilileta bongo miaka miwili tu linaanza kuleta tabu...nadhani kuna kitu huwa tunakosea!Nadia ni janga jamani tuambiane tu ukweli ila ikipata mtunzaji haina shida kivile