7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,567
- 4,432
Lita moja km ngapi
Km 5 mpaka 7km lita 1 imekata..kwa town
Lita moja km ngapi
Du fuel consumption yake ipo juu sana aiseeeKm 5 mpaka 7km lita 1 imekata..kwa town
Coz kuna matoleo mapya tayariChuma imetulia sana ila tu najiuliza kwanini hizi gari zinauzwa bei chee hivi?